Kwanini wadada ambao waliozaa nje ya ndoa...

Kwanini wadada ambao waliozaa nje ya ndoa...

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
KIUKWELI NIMEFANYA UTAFITI WANGU NA KUBAINI WADADA WALIOZAA NJE YA NDOA WAKIFIKA KWA MWANAUME WANAJIFANYA WANAMAPENZI YA DHATI SANA...! SAS BINAFSI SIJAWEZA KUJUA KAMA NI KWELI AU JANJA YAO KWASABABU YA HOFU MAANA KUOLEWA UZOEFU UNAONESHA WANAPATASHIDA SANA!
eBU MWENYE UZOEFU ATWAMBIE KAMA KWELI WANAMAPEZI DHATI AU UJANJAUJANJA TU MAKE MIMI SIJAELEWA KIKUKWELI..
 
Una maanisha alie ndani ya ndoa na kuzaa nje ya ndoa?
Sababu wanawake wengi anaweza kua ndani ya ndoa na kuzaa nje ya ndoa.
 
Hii hata mm nmeiona.lakin mm nahsi janja tu anakuwa paka aliyeficha makucha
 
mwanangu wajanja wajana sana, usichana wao wamekula wenyewe wanapenda sana mgawane uzee wao...!
Hii hata mm nmeiona.lakin mm nahsi janja tu anakuwa paka aliyeficha makucha
 
Back
Top Bottom