Habarini wandugu,tumsaidie mawazo huyu mwenzetu,yuko kwenye relation kwa almost 6yrs na wana mtoto mmoja wa 2yrs(walimpata wakiwa chuoni) stage waliyofikia ni kujulikana kwa wazazi wa pande zote...
Habarini marafiki
Ni stori ambayo inasisimua na kushangaza na imeshatokea kwa wanandoa hawa
hebu marafiki isomeni najua hapa mtajifunza kitu toka katika STORY hii
Nimeinyaka mahali nami nimeona...
KWA WOTE AMBAO MLIKUWA KWENYE MAHUSIANO HALAFU GHAFLA YULE ULIYEMPENDA AKAKUACHA BILA SABABU YA MAANA>>>Usimlilie, wala usiuumize moyo wako kwa ajili yake. Usijipe PRESHA bure kwa ajili yake. Huyo...
Wakuu, kwanza nieleze wazi kabla kuwa ni makosa kumpiga mkeo kwa kosa la namna yeyote ile ila kuna wakati hutokea bahati mbaya mme unajikuta umempiga mke kutokana na makosa au makwaruzano ya hapa...
Tafakari yetu leo inahusu WEWE NI SEHEMU YA MFUMO ?
Karibu kila kilichoumbwa duniani ni sehemu ya kingine , kwa hiyo tuseme hata sisi binadamu ni mfumo. Lakini kabla sijaingia kwa binadamu embu...
Naitwa Manlax nipo Kahama-Shinyanga, nina miaka 28 sasa, ni mtanzania halisi natafuta marafiki wa kike wenye asili ya kiarabu na wahindi kati ya miaka 18-24, nimefikia kutafuta matrafiki wa...
Wadau habari,
baada ya kufuatilia mada mbalimbali,kumekuwa na malalamiko ya kutoridhishwa kimapenzi na wenzi wao,inaonekana kwamba kitendo cha mwanaume kutomridhisha kimapenzi mwanamke basi...
nimezidiwa na hii hali.! Nimpendae yuko mbali nami,, tiba ni yeye tu na hayupo..
Sina tabia ya kupoa milupo''left overs'',,
what do i do? ubongo umestuck
Mnapambana vp na hii hali?!
Ndugu zangu nilikuwa shida na nikiamini kbs kwamba nyinyi ndugu zangu mnauwezo wakunisaidi,Naam jamni mm nilitokea kumpenda sana msichana flani amby nimeshindwa kumwelewa hadi sasa kwani niliweza...
Nimependezwa kuleta jamvini swala hili nina jamaa yangu mtu wa karibu ambaye nayafahamu maisha yake kiujumla..
issue ni kwamba msela akimface dem at the first time huwa anampenda na...
Wana JF ninahitaji msaada wenu,
Nina mtoto wa mwaka na nusu ila anaonyesha dalili za ukorofi sana.
Akicheza na wenzake ni kuwapiga tuu na kuwang'anya vitu vyao. Mpaka sasa hivi wenzake hawataki...
Rafiki wa rafiki yangu anaomba msaada. Kashfa na kebehi si mahala pake tafadhali
"Mimi ni kijana wa miaka 29. Baada ya maisha kunipiga kwa muda mrefu kutokana na kutokuwa na msaada wa familia na...
Wanasayansi nchini Uingereza, wamefanikiwa kutengeneza kidonge kisicho na homoni wanachosema kitawafanya wanaume nao wasiwe na uwezo wa kuwapa wanawake mimba kwa saa kadhaa! Kidonge hicho...
Wana MMU Arusha Nina ombi ambalo naitaji tulifanyie kazi nalo ni kufanya party ambayo itatufanya tufahamiane na tufurahi pamoja,si lazima iwe kesho au keshokutwa hapana,tujadili pamoja na...
KWA MFANO: Umeishi na mpenzi/mke wako kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja, kisha unakuja kugundua kuwa kumbe sehemu fulani ya mwilini mwake ana tattoo yenye jina la mwanaume mwingine... Utafanyaje?
Hapa sizungumzii nyumba ndogo, kwakuwa hii mara nyingi inakuwa imehalalishwa kiharamu
hapa ni wale wanaoitwa wa juu kwa juu, hit n run,ambao mmekutana tu kwa (BAHATI MBAYA),lakini kiukweli sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.