Nichukue fursa hii kuwatakieni nyote wana mmu usiku mwema wale mashabiki wa arse8 oh sorry arse5 poleni wa chelsea hongereni na wa yeboyebo hongereni love u ila miss chagga nampenda zaidi
Kila anaeachana na mpenzi wake, atasema tulipendana na tulipanga kuoana,
Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Mapenzi na maumivu yake pamoja na...
Jamani huu ni ungwana kweli?
Kaka yangu wa damu kampiga mimba demu ambaye tulikuwa wapenzi kwa mda mrefu tu na yeye alikuwa anafahamu kila kitu, kwani tulikuwa tunaishi pamoja na kaka yangu yeye...
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa. Mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini? Wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
Jamani wife ana kibendi sasa amezidi matatizo kila siku yeye anataka maembe,limao, mahindi na chipsi ndo vyakula vyake vikuu, na hataki chakula kingine kama ugali na wali, kwenda kazi hataki...
Nikiwa kama rais wa mabachela(single) na waziri wangu mkuu tinna cute tunatangaza kuwa sisi hatutakua na valentine day kabisa,kufeli kufuata maagizo hayo utakua umejiondoa.
ANGALIZO:mlio na wake...
Habarini marafiki zangu
USHAURI CHANYA KWA WANAUME
Leo naona marafiki zangu mtanishangaa sana kuleta mada hii hapa kwenu hii yote ni kutaka kuwapa somo lengwa kwa WANAUME ambao hawajui uzazi...
Kama Unataka NDOA YAKO Nayo ISIINGIE Kwenye ORODHA Ya NDOA ZILIZOVUNJIKA Hakikisha Kwanza Wewe UMEOLOEWA NA NENO LA MUNGU Kisha Ndipo Ukamtafute Huyo Mme/ Mke Ambaye Naye AMEOLEWA NA NENO LA...
Wadau hivi katika kuduu unashauriwa bao mwisho ngapi? Maana kuna mwanamke jana amening'ang'ania mpaka bao tatu bado akawa anataka tena, Mimi miguu ikaanza kutetemeka ikabidi nipige la nne.
Mwisho...
Hivi mwanaume anaweza kukaa zaidi ya miaka mitatu bila mpenzi?
Tusaidianeni jamani manake mi nashangazwa na kidume ulokamilika kukaa kipindi chote hicho bila kuwa na "mtoto"...
Mambo vipi wana MMU? Mara nyingi nimesikia wanawake wanalalamika kuwa waume zao wakiduu cha kwanza tuu wanalala usingizi wa kukoroma. Tatizo hili linasababishwa na mambo mengi sana na baada ya...
^^
Umekosea kuoa?
Hilo ni swali nilomuuliza rafiki yangu kipenzi sana. Alinifuata kwa maongezi ya kawaida. Maongezi yenye upendo,furaha, amani na urafiki. Wepesi wangu wa kumjua rafiki yangu...
Kuna ushahidi wa kisayansi kuwa ubongo wa mwanamke na mwanamme umeumbwa tofauti ndio mana :-
1. Kuna aina fulani ya shughuli au matukio mwanamke anaweza kufanya kwa ubora zaidi kuliko mwanaume, na...
Watu jifunzeni "NO na "YES"
Kwanini umng'ang'anie mwenzio kama hakupendi na wala hataki mahusiono na wewe??
Muwe waelewa sio kila mwanamke utakaye mfuata atakupenda,ukiambiwa stop na iwe hivyo...
Habari zenyuu wana j.f. Kichwa cha habari kinahusika. Takribani mwaka sasa umepita tangu nianze kushea maisha na huyu dada. Mimi napiga kibarua nimemaliza six. Lakini nipo 2nd yr university. Huyu...
miezi miwil iliyo picha nlikuwa stend nasubiria gari gafla ikaja gari aina ya noha ikawa inapakia town 1000 sasa nikabahatika kupata nafasi ya kuingia katika ile gari na kukaa siti zote zili jaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.