Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

Hivi haya mahusiano ni endelevu au ni utapeli??

Ynamo

Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
21
Reaction score
6
Habarini wandugu,tumsaidie mawazo huyu mwenzetu,yuko kwenye relation kwa almost 6yrs na wana mtoto mmoja wa 2yrs(walimpata wakiwa chuoni) stage waliyofikia ni kujulikana kwa wazazi wa pande zote mbili ila mahari haijatolewa,sasa binti akimuuliza kijana kuhusu further steps kijana anapiga danadana,sasa anajiuliza aendelee kusubiri au achanje mbuga?
 
Huyo bibie hajajua tu hapo kinachoendelea maana yke achukue time hyo
 
Na akizubaa ataongezwa mtoto mwingine na jamaa ale kona!!!!
 
Huyo nae uzoba kazd miaka sita true love ilishaisha tka karne ya 19 sepa dada
 
habarini wandugu,tumsaidie mawazo huyu mwenzetu,yuko kwenye relation kwa almost 6yrs na wana mtoto mmoja wa 2yrs(walimpata wakiwa chuoni) stage waliyofikia ni kujulikana kwa wazazi wa pande zote mbili ila mahari haijatolewa,sasa binti akimuuliza kijana kuhusu further steps kijana anapiga danadana,sasa anajiuliza aendelee kusubiri au achanje mbuga?

subira yavuta heri sometimes


ngojangoja yaumiza matumbo

achague moja kati ya hizo
 
Hamna ndoa hapo, hao wanasaidiana tu
 
si anaweza kudai na fidia ya kupotezewa muda eeh
 
kwani sheria ya ndoa inasemaje?

kama sijakosea ni kuwa watu wakiishi pamoja kama wanandoa kwa muda wa miaka miwili inakua kama ndoa na anaweza kudai haki zake au ikoje mkuu
 
^^
Walikutana Chuo cha nini ambacho hawezi kusoma alama za nyakati? Vingnevyo anataka kuvunja rekodi
^^
 
^^
Walikutana Chuo cha nini ambacho hawezi kusoma alama za nyakati? Vingnevyo anataka kuvunja rekodi
^^
mkuu Himidini,tatizo jamaa haeleweki sometimes anaonesha matumaini sometimes ndo vile tena ndo mana bint anakuwa hamsomi
 
mkuu Himidini,tatizo jamaa haeleweki sometimes anaonesha matumaini sometimes ndo vile tena ndo mana bint anakuwa hamsomi

^^
Ynamo tukitumia uzoefu wa kawaida tu, ni kuwa mwanaume anapopata anachotaka kwa mwanamke bila masharti basi upendo hugeuka mazoea na uchumba hugeuka kipozeo! Nina mashaka makubwa kuwa kwa miaka 6 huo si uchumba tena bali kutumiwa kama jojo, utamu ukiisha anatupwa.
Mark my words.
^^
 
Back
Top Bottom