ufanye nini kwani tatoo si urembo tu na wewe.
bora uchore ambayo inafutika mapenzi yenyewe haya hayana hata guarantee
Inaongeza ''value'' gani kujichora jina la mtu mwilini mwako? anyway... Love is madness..
KWA MFANO: Umeishi na mpenzi/mke wako kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja, kisha unakuja kugundua kuwa kumbe sehemu fulani ya mwilini mwake ana tattoo yenye jina lae?
sijui hata inaongeza value gani!!!!!!!!!!
maana mie sidhani kama itakuja kutokea nikafanya hivo