Za jioni wana MMU,kufuatia malalamiko ya wanaume wengi sana humu jukwaani na huko mitaani juu ya kuombwa hela,...
Binafsi nafikiri kuna haja ya kujifunza namna/mbinu za kumfanya Mwanaume...
Hello wadau niko njia panda kuhusu ni msichana yupi nioe kati ya hawa
WA KWANZA
Huyu tupo kwenye mahusiano kwa mda wa miaka miwili na hakuwahi kuwa na mwanaume yeyote na lengo letu lilikuwa ni...
KWA muda mrefu nimekuwa nikipata maswali kutoka wadau na wengine wakieleza matatizo waliyonayo katika uhusiano na wapenzi wao. Kati yao, wapo ambao wanateswa na jambo dogo sana; ni dogo lakini...
Katika kuimarisha mashina ya team bazazi,leo natua Morogoro(siyo kwa chopa).Kazi yangu itakuwa ni uenezi na kuwajulisha wanachama wa hapa umuhimu wa uchaguzi ujao.
Ili kuhakikisha uchaguzi ujao...
Majanga#
Nilikuwa mkoani nikaenda bar kujipatia menu ya usiku kufika nikakaribishwa ma mtoto mrembo sana dah raha tupu akanihudumia mpaka mwisho tulipotoka akanipa namba.
Kesho yake asubuhi...
Wana MMU, salamu kwenu!
Hii ni thread yangu ya kwanza kwenye kwenye hili jukwaa, imenilazimu kuja kuomba ushauri kwa hili lililonikuta. Issue iko hivi,
Mwaka 2010 nilikutana na binti mrembo...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 43, slimbody, maji ya kunde, nina urefu wa ft5inch7, kiukweli jamani natafuta mke awe na umri kuanzia miaka 35 na kuendelea.
Yule mwanamke ambaye ana shida...
Wapenzi wa jf, habari za weekend, mpaka sasa saa 2: 46 bado sijaamka ninaemdelea kulala huku nikiwa na msongo mkubwa wa mawazo kisa ni mama Ngina kuanza ukorofi ambao hakuwa nao siku za nyuma. Kwa...
The Elephant Rope
As a man was passing the elephants, he suddenly stopped, confused by the fact that these huge creatures were being held by only a small rope tied to their front leg. No...
Naomba mneelewe wandugu, mimi siyo mkabila ila nakuwaga very interested kusikia habari za hawa ndugu zangu wakurya hasa visa na mikasa yao. Nimeambiwa kuwa hawa jamaa ni wastarabu sana ila tatizo...
rafiki yangu ana umri wa miaka 23 lakini ana tatizo la kupiga punyeto,anadai amejitahid sana kujaribu kuacha lakin ameshindwa na anauweza kupiga hata mara 3 kwa siku pia imepelekea mpaka kukosa...
Yaani Majaribu anasafiri kutoka mkoani kwenda Dar majaribu yanaanzia kwenye hili bus sasa duh, nimezungukwa na warembo kulia kushoto mbele na nyuma dah! halafu bus imesheeni vimwana wa ukwelikweli...
Adje maarifu
ni kiivi chalii angu alinitambulisha kwa manzi yake manzi mkari tuu, asee afu chalii ana hela mbaya pia manzi yupo vizuri na ana job. Ila me nachili na huyo arifu pande za ngaramtoni...
Mi ni mwanaume......ni mkristo yaani lutheran. Nimetokea kumpenda binti mmoja wa dhehebu nyingine ambayo ni jehovas witness, siwezi kumuoa hadi tuwe dini moja na yeye hawezi hama maana anaamini...
Kama wewe ni dada uliepo mkoa tajwa hapo juu na una umri kuanzia 18 yrs to 22yrs,staki alie na kazi na ninataka alie mvumilivu na alie tayari kuwa na mmi kimaisha ur welcome......
Hey there, am 27 from dar once again looking for a wife, only i need is true love so any one who wish to communicate with me who in need, ma phone is 0655601779, thanks welcm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.