Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,087
Hapa sizungumzii nyumba ndogo, kwakuwa hii mara nyingi inakuwa imehalalishwa kiharamu
hapa ni wale wanaoitwa wa juu kwa juu, hit n run,ambao mmekutana tu kwa (BAHATI MBAYA),lakini kiukweli sio coincedence, wanakuwa wamejipanga kwa hilo
Hawa kazi za nje wapo katika makundi tofauti
~ambao ndio tabia yao, hawataki kuwa na mtu maalum, akinyegeka anaupara anajipitisha barabarani atakayenasa ni huyo huyo. hawana cost kivile
~ wanafunzi, na wanachuo, hawa mara nyingi ni shida, ataupara atajipitisha huku na kule, cost zao mara nyingi ni free meals na kinywaji na pesa kidogo hakupangii
~hawa ndio kazi yao officially, asubuhi anaamka anaupara kinoma kama anaenda ofisini, lakini atakayekutana naye ndio huyo huyo japo saa nyingine huchagua aliyenona, hapa cost zipo
kundi la mwisho la kazi za nje, ni wake za watu, wenye wapenzi walioko safarini, wenye hela , hawa
wanachotaka ni kuondolewa hamu tu, gharama zote ni juu yao hufanya kama adventure
WANAKOPATIKANA
-STAND NA VITUO VYA DALADALA
-BARABARANI WAKITEMBEA KAMA HAWANA HARAKA
-KUMISSCALL NA KUJIFANYA KAKOSEA NO
KWENYE SUPERMARKETS, BEACH CINEMA BAR NK NK
Kwa wale mabazazi na vicheche wanaopenda hii makitu hujiokotea tu
KUMBUKA KAZI YA NJE HAIKAI KITUO KIMOJA ZAIDI YA MARA MBILI,