Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
Yaani Majaribu anasafiri kutoka mkoani kwenda Dar majaribu yanaanzia kwenye hili bus sasa duh, nimezungukwa na warembo kulia kushoto mbele na nyuma dah! halafu bus imesheeni vimwana wa ukwelikweli dah! Hapa lazima nijipatie mmoja sasa nitumie njia gani kumnasa hata 1 ukizingatia hawapo kwenye sit yangu. Nani aniongezee bujuzi?