WADADA WA MORO/DAR/TANGA:NINATAFUTA MKe

WADADA WA MORO/DAR/TANGA:NINATAFUTA MKe

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Kama wewe ni dada uliepo mkoa tajwa hapo juu na una umri kuanzia 18 yrs to 22yrs,staki alie na kazi na ninataka alie mvumilivu na alie tayari kuwa na mmi kimaisha ur welcome......
 
Huyo mtafuta mke mwenyewe ndo kwanza uko first year chuoni
 
Wewe lugano juz c alikuja msemaji wako hapa akatuambia kuwa umepata mke humu? Ama mpo wawili?? Eboh!
 
watoto kama hawa ni kuwa piga ban za lazima ili wasome!

moderators liangalieni hili suala tafadhali!

vikirudi tena twanga ban, wataelewa umuhimu wa kukaa na daftari
 
watoto kama hawa ni kuwa piga ban za lazima ili wasome!

Moderators liangalieni hili suala tafadhali!

Vikirudi tena twanga ban, wataelewa umuhimu wa kukaa na daftari

mpaka sasa yupo kifungoni
 
mpaka sasa yupo kifungoni

kumbe nilikatabiria eenh!

wapo wengi humu tunaosoma lakini tunabehave vizuri sana..

lakini haka kamekuwa too much noise!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom