Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Wapenzi wa jf, habari za weekend, mpaka sasa saa 2: 46 bado sijaamka ninaemdelea kulala huku nikiwa na msongo mkubwa wa mawazo kisa ni mama Ngina kuanza ukorofi ambao hakuwa nao siku za nyuma. Kwa jinsi mawazo yalivyo mengi na hayana suluhu kwa sasa , nimeanza kuelewa ni kwanini watu hua wanajemga nyumba ndogo. Labda nimezidi mno upole sijui ahhhh we achatu!