tafadhali pitia ujumbe ulio katika picha iliyoambatanishwa hapa.unaweza kupata kitu.
N.B:Naamini hii picha sio pornogrphic na haitamkwaza mtu yoyote,gud night!
Jamani wenzangu mwenzenu nimekamatika kwa msichana mmoja,tulipendana sana kupita maelezo lakini ghafla mwenzangu amebadilika na hanitaki tena na inafikia muda ananiambia tuwe marafiki tu.
Tatizo...
Wakuu nimekuwa kila siku nikijiuliza japokuwa na jitihada nyingi za akina dada kujikwamua na unyanyasaji wa kijinsi lakini kuna hili suala wamekuwa wakilisahau sijui kwa kuwa linaangukia kwenye...
Tumezoea kusikia tu mawaziri mizigo, msemo ulioasisiwa na kada maaarufu na katibu mkuu wa ccm mzee Kinana, baada ya kuona utendaji wa mawaziri hao hauna tija na ni mzigo kwa Taifa, hii ni siasa...
Habari wanajamvi,
kuna mganga jirani yangu amefariki gafla.
Utata umekuja kwenye msiba hapa ambapo mke wa mganga amestaajabu na kuzimia mara kwa mara baada ya wanawake watatu tofauti abao huyo...
Miaka nane iliyopita nikiwa mkoani Moshi, nilikuwa na mpenzi ambaye nilimdanganya nitamuoa nikaja kumpiga chini, nilidumu naye kwa miaka miwili na nusu. Niliachana naye siyo kwa wema coz nilimpiga...
Wanawake wengi duniani wamekuwa wakipata taabu jinsi ya kuoanisha na kusawazisha majukumu yao ya nyumbani na yale yanayotokana na kazi za kuajiriwa ama kujiajiri wenyewe. Kwa mwanamke yeyote (hapa...
Nilitamani kucheka, nikaamua kujizuia, ilikuwa jana usiku nakatisha mitaa fulani nikasikia mazungumzo wa watu wawili,
Dada na kaka, kaka analalama siku dada yake anaolewa kwa mujibu wa tamaduni...
Kama wewe mkeo au mumeo mligegegdana weeee ndio mkafumga ndoa basi huyo ni umefunga ndoa na demu wako kwa man na women mmefunga ndoa na mabwana zenu sio waume zenu na wala sio wake zenu.
Ukweli...
UKISHUHUDIA MAMBO HAYA basi
ujue Mpenzi wako ni wa-KICHINA.
1. Yale mapungufu unayoyaona katka mwili wako ye anakudanganya ndo ameyapenda. Mf. We cha Ufupi, yeye anakwambia 'NAPENDAGA WAFUPI!'
au...
Tofauti yao ni jinsia tu, lakini matendo yao yanafanana, wote wanapenda kudate na watoto, na ni wahongaji wazuri mno, wengine ni wenye nyazifa nyeti serikalini na watu wa kuheshimiwa mno
Yapo...
wakuu naomba mnipe japo ufaham tu,kwanini ndoa za siku hizi zina migogoro sana kuliko zamani?
Je chanzo chake ni wanaume au wanawake au ndo utandawazi?
au ni kuiga mambo ya ulaya maana huku...
Hasa eneo la Mahari, Sherehe na uuzaji wa Ngono.
Kutokana na biashara ya mapenzi kushamiri na makahaba kudai watambuliwe na kuheshimiwa sasa TRA tunaomba muwatambua na katika awamu ya Tatu ya...
habari zenu magreat thinkers wa JF .mbarikiwe saaana kwa kuwa nyie ni sehemu ya maisha yangu maana humu jamvini japo kuna vimbwanga na vituko vya kila leo lakini kwa...
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi...
Amazing Mathematics
If:
A B C D E F G H I J K LM N O P Q R S T U V W X Y Z
is equal to:
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26
Then,
H+A+R+D+W+O+R+K ...