Wapenzi mizigo

Wapenzi mizigo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,405
Reaction score
872,011
Tumezoea kusikia tu mawaziri mizigo, msemo ulioasisiwa na kada maaarufu na katibu mkuu wa ccm mzee Kinana, baada ya kuona utendaji wa mawaziri hao hauna tija na ni mzigo kwa Taifa, hii ni siasa,

Sasa unajua kuna wapenzi mizigo, waume mizigo, wake mizigo, marafiki mizigo ?

Awe yeyote kati ya hao hapo juu bila kujali jinsia, yeye kazi yake ni kupokea na kutumia tu, kutafuta aah ah sio kazi yake almradi ameoa au ameolewa basi mambo mengine yoote kasoro kutumia hayamhusu.

Kama ni mwanaume pesa yake ni yake, lakini ya mkewe ndio ya kufanyia kila kitu kuanzia ada za watoto, kodi chakula nk,

Kama ni mwanamke pesa yake ni ya vipodozi, mavazi na mapambo yake. lakini matumizi ya hm na mengine yooote ni jukumu la baba

Kama ni rafiki anakutafuta anapokuwa mhitaji, kama hana shida chake ni chake,

Wengine hawataki maendeleo, wanataka kila kinachopatikana kiliwe kiishe, na kutumia kwenye starehe,
wengine hawapendi wapenzi wao wavae wapendeze kisa watapendwa au watatongozwa.

Hawa wote ni mizigo,。。。

Tunapoijadili mizigo ya ccm nasi tujipime tusijekuwa nasi ni mizigo kwenye kampani na familia zetu.
 
uyasemayo ni kweli tupu mshana jr, na mara nyingi hili huongozwa na ubinafsi na kutojali wengine ndio mwisho mtu anakuwa mzigo
 
^^
Well said Mkuu...Yaani wanajua haki tu neno wajibu halipo katika kamusi yao
^^
 
Yaani nawapenda wanawake "mizigo" mpaka basi, kama yupo mwanamke mzigo aniPM hahahahahaaaa
 
unapokuwa na mpenzi kila siku anakuliza jiulize kama ni mpenzi au mzigo wa machozi
 
Hakuna mwanamke ambaye ni mzigo!!

Mwanamke nipambo' anahitaji kuhudumiwa, kubembelezwa na kukamilishiwa mahitaji yake yote. Mwaache atumie tu maana jukum lakubeba ujauzito miezi 9 usifanye masiahara kabisa' bado maumivu yakule leba acha uhadithiwe tu!!

Adhabu aliyopewa mwanamke yakuzaa kwauchungu ina mtosha sana sasa kumfanya mzigo haipendezi na pia nikinyume na maandiko! Wanaume tuliambiwa tutakula kwajasho letu' let's play our part.

Huu usawa tunaotaka huu sijui!!

Napinga kabisa hoja kwamba mwanamke anaweza kuwa mzigo!
 
Huu mfumo dume tunaouwndekeza huu sijui!

Napinga kabisa hoja kwamba mwanamke anaweza kuwa mzigo!

Na ni mvumilivu wa mambo mengi atakayofanyiwa, mwanaume anaweza kimbia familia lakin mwanamke hawez fanya hivo kwaajili ya uchungu otherwise ni punguwani....
 
valentine fever inamsumbua ahahahaha.
mke anataka, mtoto anataka, nyumba ndogo zinataka na madarling wa ofisini nao wanataka lol.
😛hoto:

hehehe!! mkwe nishawataftia sabab za kugombana wote hao.. hapa nimebaki na mmoha tu wa kula nae valentine. watano niliowanunia ntawasemesha jumamosi asbh. sina jinsi mkwe imebd nifanye hivo.
 
Tumezoea kusikia tu mawaziri mizigo, msemo ulioasisiwa na kada maaarufu na katibu mkuu wa ccm mzee Kinana, baada ya kuona utendaji wa mawaziri hao hauna tija na ni mzigo kwa Taifa, hii ni siasa,

Sasa unajua kuna wapenzi mizigo, waume mizigo, wake mizigo, marafiki mizigo ?

Awe yeyote kati ya hao hapo juu bila kujali jinsia, yeye kazi yake ni kupokea na kutumia tu, kutafuta aah ah sio kazi yake almradi ameoa au ameolewa basi mambo mengine yoote kasoro kutumia hayamhusu.

Kama ni mwanaume pesa yake ni yake, lakini ya mkewe ndio ya kufanyia kila kitu kuanzia ada za watoto, kodi chakula nk,

Kama ni mwanamke pesa yake ni ya vipodozi, mavazi na mapambo yake. lakini matumizi ya hm na mengine yooote ni jukumu la baba

Kama ni rafiki anakutafuta anapokuwa mhitaji, kama hana shida chake ni chake,

Wengine hawataki maendeleo, wanataka kila kinachopatikana kiliwe kiishe, na kutumia kwenye starehe,
wengine hawapendi wapenzi wao wavae wapendeze kisa watapendwa au watatongozwa.

Hawa wote ni mizigo,。。。

Tunapoijadili mizigo ya ccm nasi tujipime tusijekuwa nasi ni mizigo kwenye kampani na familia zetu.

kweli tupu!
 
huu wako uliozungumzia ndo mfumo dume mwanamke akae tu asuburie mwanaume.
wao wanataka haki sawa so wote tu provide.

Huu usawa tunaotuka' utatugharim!! Pia mkubali hata kuchapiwa...

Asante kwamarekebisho.
 
Back
Top Bottom