Mapenzi ya kichina

Mapenzi ya kichina

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
UKISHUHUDIA MAMBO HAYA basi
ujue Mpenzi wako ni wa-KICHINA.

1. Yale mapungufu unayoyaona katka mwili wako ye anakudanganya ndo ameyapenda. Mf. We cha Ufupi, yeye anakwambia 'NAPENDAGA WAFUPI!'
au unajijua kabisa una bichwa baya kama langu halafu anakwambia ‘baby me love yo head!!'- wa- KICHINA.

2. Hakupigii simu mpaka um2mie vocha- Wa-kichina huyo.

3. Dume zima kila cku kumpiga mizinga mtoto wakike- mchna feki.

4. Kidume swala tano, wa kike naye mtoto wa mchungaji, mnadanganyana KUOANA. Wote nyie wa-KICHINA. Mwende mkawekewe 'hauzing' mshazeeka.

5. Mpenzi kila akikutana na wewe anataka mfanye ngono- huyu MCHINA tena wa Kamera.

6. Anajifanya ana wivu sana, akiona umeandka ki2 fb ananuna- chukua tahadhari atakulipukia huyo.

7. Mida yake ya kupga simu ni saa 4 usiku hadi 12 asubuhI- huyu Bundi la kichina.

8. Mkiwa chumbani yeye kila unapomgusa anajidai kusisimka..tena bingwa wa kupiga makelele- MCHINA WA TOCHI.

9. Anajidai kupenda maisha ya wazungu..mara akuombe pesa ya kuweka kope za bandia mara makucha kama jini- Huyu naye kuwa naye makini atazima muda wowote.

10. Siku ukiwa na gari unaendesha anajiachia, mikiwa mnagombania daladala anavaa baibui-Screen touch ya kichina huyu!! Muda wowote anazingua.

11. Anajisifia sana mali za wazazi wake ilimradi umwonee yupo juu- Huyu naye mchina sema anapatikana duka moja tu linaitwa facebook.

12. Bingwa wa kujidai anajua sana kiingereza kuliko Kiswahili wakati anachapia kwa sanahuyu naye weka Silent mode asije kukuabisha mbele ya rafiki zako.
13. Mtoto wa kike anakulaghai eti ooh!! Ukitumia kondom mi huwa nawashwa…baby pliiz- Shtuka mchina huyu anataka kukuuzia mimba isiyokuwa yako.

14. Wote mnasoma chuo…mnalipiwa na wazazi. Halafu yeye bingwa wa kukueleza shida zake- Muweke kwenye chaji huyu hakawii kuzima ni Mchina.

15. NA YEYOTE YULE ANAYEJIJUA MCHINA. NAYE NI MCHINA TUU
 
Ukiona dume linalalamika lalamika nalo ni la kichina tu...
 
Mnavyojua kuwasingizia Wachina...khaaa!!!
 
eti ni mchina weka silent mode asije akakuaibisha

nimepatia pozi kuna sim za mchina zina makelele hizo maana
ikipiga halaf mko na watu we mwenyewe utajisikia karaha
 
Nawaonea huruma wanawake hawapumui kila siku mnaandamwa tu cha msingi mbadilike
 
Sim ina mpaka tune mode..base, pop, rock na vikolongwezo kbao
 
UKISHUHUDIA MAMBO HAYA basi
ujue Mpenzi wako ni wa-KICHINA.
1. Yale mapungufu unayoyaona katka
mwili wako ye anakudanganya ndo
ameyapenda. Mf. We cha Ufupi, yeye
anakwambia 'NAPENDAGA WAFUPI!'
au unajijua kabisa una bichwa baya
kama langu halafu anakwambia
‘baby me love yo head!!'- wa-
KICHINA.
2. Hakupigii simu mpaka um2mie
vocha- Wa-kichina huyo.
3. Dume zima kila cku kumpiga
mizinga mtoto wakike- mchna feki.
4. Kidume swala tano, wa kike naye
mtoto wa mchungaji,
mnadanganyana KUOANA. Wote nyie
wa-KICHINA. Mwende mkawekewe
'hauzing' mshazeeka.
5. Mpenzi kila akikutana na wewe
anataka mfanye ngono- huyu
MCHINA tena wa Kamera.
6. Anajifanya ana wivu sana, akiona
umeandka ki2 fb ananuna- chukua
tahadhari atakulipukia huyo.
7. Mida yake ya kupga simu ni saa 4
usiku hadi 12 asubuhI- huyu Bundi
la kichina.
8. Mkiwa chumbani yeye kila
unapomgusa anajidai
kusisimka..tena bingwa wa kupiga
makelele- MCHINA WA TOCHI.
9. Anajidai kupenda maisha ya
wazungu..mara akuombe pesa ya
kuweka kope za bandia mara
makucha kama jini- Huyu naye kuwa
naye makini atazima muda wowote.
10. Siku ukiwa na gari unaendesha
anajiachia, mikiwa mnagombania
daladala anavaa baibui-Screen touch
ya kichina huyu!! Muda wowote
anazingua.
11. Anajisifia sana mali za wazazi
wake ilimradi umwonee yupo juu-
Huyu naye mchina sema
anapatikana duka moja tu linaitwa
facebook.
12. Bingwa wa kujidai anajua sana
kiingereza kuliko Kiswahili wakati
anachapia kwa sanahuyu naye weka
Silent mode asije kukuabisha mbele
ya rafiki zako.
13. Mtoto wa kike anakulaghai eti
ooh!! Ukitumia kondom mi huwa
nawashwa…baby pliiz- Shtuka
mchina huyu anataka kukuuzia
mimba isiyokuwa yako.
14. Wote mnasoma chuo…mnalipiwa
na wazazi. Halafu yeye bingwa wa
kukueleza shida zake- Muweke
kwenye chaji huyu hakawii kuzima ni
Mchina.
15. NA YEYOTE YULE ANAYEJIJUA
MCHINA. NAYE NI MCHINA TUU
Haya maandishi yenyewe yamepangwa kichina!
 
Back
Top Bottom