Nimekosa mke basi angalau mwanamke

Nimekosa mke basi angalau mwanamke

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,898
Reaction score
14,604
Baada ya kutangaza kutafuta mke na kuambulia patupu,
basi.....
Natafuta mwanamke tuwe na mahusiano nae kwa siri.
 
NZALENDO huo sasa upumbavu kama sio ujinga, hebu tafuta mwanamke umuoe sio hayo madudu unayotaka kufanya acha kabisa.
 
Back
Top Bottom