Anataka kunitumia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anataka kunitumia?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ambassador, Jun 14, 2012.

 1. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?
   
 2. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 1,962
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Yaelekea nawe unamtaka, kukukasirikia kwa kukataa upumbavu wake ndio unatuletea tukushauri? Hapa hakuna ushauri zaidi na kumuacha na upumbavu wake. Au mwambie kwanza ule kipaja ndio umtekelezee hitaji lake!

  Bazazi ni Bazazi!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,735
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Mshamba tu huyo, achana naye na wala asikupotezee muda!
   
 4. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,277
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  muombe mzigo
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,835
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kula mzigo tambaaaaaaaaaaaa
   
 6. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 35
  Mwambie hiyo ya simu mi siitaki,mi nataka ya kufumania, tuone kama atakubali.
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kijana ajira ni ajira na ukitekeleza hiyo kazi basi utalipwa! Au pengine utamsaidia msichana kwa kuonekana kuwa kuna mtu anamjali hivyo mjamaa atangangania. Msaidie tu lakini usitumie namba yako huenda mambo yakakurejea wewe.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,133
  Likes Received: 1,450
  Trophy Points: 280
  Mna umri gani? Sms za kutishiana? Si anunue simu nyingine awe anajitumia sms mwenyewe! Kha!
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  LiKe LiKe LiKe

   
 10. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,349
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Mwambie atafute simu ambayo unaiset kila baada ya mda fulani inatuma meseji yenyewe hivyo aziandae na mda ukifika atapata msg akiwa na jamaa yake, la sivyo ni kutafutiana RB mjini
   
 11. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kula kitu kwanza!

   
 12. Ndukulusudikucho

  Ndukulusudikucho Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 14, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpotezee 2 hana la maana la kuongea huyo
   
 13. J

  JF2050 JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hahahahahaaa
   
 14. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 9,918
  Likes Received: 609
  Trophy Points: 280
  Una umri gani?
   
 15. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 27,495
  Likes Received: 1,309
  Trophy Points: 280
  Umejua unataka kutumiwa sasa nini cha zaidi?
   
 16. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,518
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  achana naye!
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,550
  Likes Received: 9,275
  Trophy Points: 280
  kula zigo halafu na wewe tibua kama mshikaji alivyotibua
   
 18. data

  data JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 13,074
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  ishu hii nayo ni ya kuleta hapa mkuu.. I doubt you.
   
 19. Badu

  Badu JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamua mzigo blaza
   
 20. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  ....balozi, achana nae huyo....mbona anataka kukufanya malapa ya chooni mwisho mlangoni?....

  Pse dnt! siku wakipatana, atakutukanisha unamuharibia 'nyumba' yake...usijesutwa bure kamanda, na umri huo dahh...
  Ignore her.
   
Loading...