Heshima kwenu wakuu!
Kwakweli siwafaham kiundani ndugu zangu wahehe zaidi yakuwasoma kwenye historia! Ila napata sifa za mabinti wakihehe' pia kuna wengine wananionesha hata mifano ya ndoa za...
Habari wa ndugu,
Ma bibi na mabwana eeh bana ngoja niseme kitu japo najua kitawakera baadhi ila sina lengo baya nia ni kuelimisha hili japo linawahusu sana wadada, pia baadhi ya wakaka,
Hivi...
Ukweli unauma tena unauma sana japoakuwa mimi ni mtanzania ila nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko.
Kizazi hiki chasasa vijana tumekuwa wavivu,wezi,walalamishi na tunaopenda mishahara...
Katika ndoa zetu siku hizi ni kweli wanaume ndio wanaoongoza kwa kutoka nje ya ndoa zao? na ni kweli kwamba wanaume ndio wanaoumia zaidi pale wanaposikia mke wake anacheat katika ndoa?
Naombeni...
kuna mdada nimeanzisha naye uhusiano kama wiki moja iliyopita. ni mtu mwenye ajira yake, mshahara analipwa. siku tumekutana kwa first date alikuja na rafiki yake tukanywa na kula aafu tukaagana...
Habari zenu wadau, nimekumbana na hadithi hii sehemu, na nimeona si vibaya endapo tukala pamoja kisa hiki na kujadili mambo mbali mbali ambayo yanaweza kuwa ya msingi katika kukabiliana na wanaume...
Habari Wanajamvi.
Katika kuhakikisha siku ya wapendanao - VALENTINE DAY inakuwa ni nzuri na yenye kukumbukwa daima, Kampuni ya EDMARK inayotengeneza VIRUTUBISHO kutoka Malaysia, inakuletea...
Habari zenu wana MMU,
Kuna binti moja nimesoma nae chuo kimoja na darasa moja na wote tumemaliza mwaka mmoja.Huyu binti alikua akinihusudu sana kiasi cha kunitumia sms za mitego mara kwa mara...
Napenda na mi nitoke na mdada kama marafiki zangu walivo jiandaa wao, Yoyote aliye tayari Niombe kumuarika aje dar hata kama yuko mkoa Kwa aliye single tu karibu Kwa pm...
Wana MMU herini ya mwaka mpya!
Nawapenda sana,
Haya naombeni mnijibu swali langu hili kama mapenzi/upendo ni fadhila?.
Sijui kama mtanielewa lakini naombeni mnielewe tu manake nimekuwa nakosa...
Kuna radio moja sitaitaja huwa ninafanya kazi ya kuunganisha watu ambao hawajaoa au kuolewa na kupata wenzi wao.Unachofanya ni kutuma wasifu wako,kazi au unajishughulisha na nin! Unaemtaka aweje...
It's that season of LOVE again and many men are running around emptying their bank accounts, pockets and piggy banks. Well, as for me, I am not going into bankruptcy so as to satisfy a girl that...
Nina mpenzi wangu ambae tunapendana sana. Wakati namtongoza alikuwa mbishi sana kuhusu suala la kufanya mapenzi,.
Sasa katika kuendelea na ubishi wake mi nikaona si vibaya niende nae taaratibu...
Habari wana jamvi!
Katika pita pita humu ndani nimekutana na team mbili #teammabazazi na #teamwekapicha , kama zipo nyingine nifahamishwe plz!! nataka nishabikie/nijiunge na moja wapo kati ya...
Mungu anatuwazia yaliyo mema,ametuleta duniani kwa makusudi na si kwa hasara
(( jitambue sasa ndugu yangu isikilize sauti ya Mungu )) acha kuhangaiishwa na wanadamu wasio jua nini kitatokea...
Katika maisha yangu ya chuo huu sasa ni mwaka wa tatu,nimeshuhudia vitu vingi sana katika maisha ya chuoni.
kitu ambacho kimenifanya niandike uzi huu ni hii tabia ya akina dada zetu kujirahisisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.