Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwa kipindi kirefu nimekua mfuatiliaji wa mada mbali zinazoletwa na members tofauti tofauti wa hili jukwaa.Kitu ambacho kinasikitisha ni majibu ya ovyo yanayotolewa na baadhi ya members hali...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Natanguliza shukrani za dhati kwa rafiki zangu wote humu wana Jf,muda umefika wa kupumzika na kutuliza akili zetu,pia uchovu kutokana na shughuli/pilikapilika za hapa na pale za kutafuta maisha...
17 Reactions
245 Replies
12K Views
Kuna kijitabia cha baadhi ya madada kinaboa sana! Utakuta umeanza mahusiano na binti ndo hamjamaliza hata miezi 3, inakuwa kila mnapokutana story zake zote ni kuhusu matatizo,shida,matatizo ya...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadau wote natumaini mnaendele vema. Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana. Nilikuwa napata...
0 Reactions
103 Replies
8K Views
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Unamkuta ni mwanamke umri umeenda kwenye 30/35 anaishi mwenyewe, ana shughuli zake; ikitokea mkawa na jambo lolote la kiutafutaji anakuwa muwazi kwako na kila kitu kinaenda vyema. Wanawake hawa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Najaribu kufikiria kuna umuhimu wowote wa kufahamu mitandao ya kijamii anayoshiriki mpenzi wako, mume au mkeo? Najaribu kufikiria kuna umuhimu wa kufatilia ushiriki wake au ndio kukosa kazi ya...
12 Reactions
279 Replies
14K Views
Napishana na dada mmoja hapa Ubungo..Aiseeeeh!!!kavaa kigauni ambacho urefu kwenda chini kinaishia juu ya mapaja akiwa amesimama..Akiwa amekaa ndo malighafi zote zinakuwa exposed nje!!!..Sasa ni...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba wanawake kwani wanajua kumbembeleza nipo macho sina usingizi ni pm nikupe whatsup number.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.Hakuna Mwanaume atakaa...
18 Reactions
84 Replies
13K Views
jamaa kachukua no ya simu ya mkewe ambaye ni rafiki yangu au dada wa hiari,akajifanya mwanamke akajitongozesha kwangu
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kaniganda kama gundi, wakati mm nilikuwa nataka tu mchezo once' sasa naona anataka kuniharibia mambo, akituma sms sijibu, akipiga sipokei lakin hakati tamaa na mm, kumjibu vibaya au kumtukana...
0 Reactions
65 Replies
12K Views
Umewahi Kumwona Kuku Anayejaribu Kumdonoa Panzi Ndani Ya Chupa Ya Soda? Yule Panzi Anakuwa Na Mashaka Na Hofu Kila Mara Kuku Anapochukua Hatua Ya Kuikaribia Chupa Na Kujaribu Kudonoa; Akili Ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mapenz x mabaya ila wapenda nao ndio hupenda kuongopa jaman mshaara wa mzinifu ni HIV/VVU.2we wakwel na 2aepushe wapenz we2 katka maambukiz fanya hvyo kwa familia xalama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kutimiza adhima ya kumurudishia sifa zake Muumba wangu, leo kama kawaida yangu nilikwenda kanisani kwenye ibada, yaani mimi ni Mgalatia kama watani wetu wa jadi walivyotubatiza. Katika somo...
3 Reactions
25 Replies
10K Views
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume,na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI,LUGHA MBOVU,MAJIBU MABAYA. Hakuna Mwanaume atakaa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Sijawahi shuhudia mtu kafumaniwa ila nimekuwa nikisikia/kusoma kwenye mtandao, mara nyingi huwa wanapelekwa polisi na kesi kwenda mahakamani, Naomba kufahamu toka kwenu kule mahakamani inakuweje...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari wadau? Kuna hii ishu inanchanganya kidogo. Unakuta mtu anaweka wazi masuala yake kwenye mtandao mfano utakuta kwenye profile yake facebook kaweka in relationship with Neema..au kila muda...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Nini madhara ya kuoa mwanamke aliye na elimu ya chini.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wapendwa wana MMU habari za siku tele nilipotelea mbali na hili jukwaa na leo nimerudi. Natumai hamjambo na nimerudi na nitashirikiana nanyi kwenye shauri mbalimabli
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom