Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Mama mmoja kakosea namba na kutuma sms ya matusi kwangu. Mi kwa ustaarabu nikampigia na kumweleza kwamba kakosea. Kwa hasira akaniporomoshea matusi eti mi niko na huyo jamaa yake na ndo kanipa sms nisome. Mi nikamwomba anitajie namba ya huyo mtu alotaka kumtumia .... kunitajia kumbe alikosea namba moja tu.
Mi nikachukua jukumu la kumpigia huyo bwana na kumweleza kwamba dem wake kanitusi kwa bahati mbaya.
Baada ya kama wiki hivi; huyo mama kanipigia na kuniomba samahani na kutaka kunifahamu .... Je! nimruhusu au nimpotezee?