Lazima utachepukwa

Lazima utachepukwa

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume,na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI,LUGHA MBOVU,MAJIBU MABAYA.

Hakuna Mwanaume atakaa na wewe Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,

Amewezaje kuniacha na mi ni mzuri hivi',

Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume,Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja...

Yaani wewe afande KIBESI,na mmeo Koplo KIBESI,Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha askari wa kiwango Security.

A woman should be tender.

Soft-tonned..

A listener..

Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu,we unajifanya kidume,wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama nimeukosea mimi UNAHAMWA!
 
Wanaume na nyie!!!!!

Kuwa tender nasoft kunategemea na circumstances. Wewe mtu umefanya mmbo ya hovyo afu kama bozongwa niendekeze tenderness? Thubutu!!!!!!!!!!!!!!!! Vita vikuu vya dunia mnavitakaga wenyewe.

Yaani urudi home, in high spirits, na kazawadi mkononi, hapo hapo unaniambia nioge fasta tuipoze koo na kuku choma, kwenye unywaji unaniambia how you love me, n staff na mpangowa kuninunulia jichenila dhahabu. Nikisemese vibaya NIMEROGWA? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!! Hapo inabakia ku cement hayo mawazo yako tu usije ghairi.

Yaani hata kama haikuwako kwenye plan, tukifika mlangoni tu nachojoa nguo zote, na kulianzisha game hapo hapo mlangoni. Nahakiisha yote ulionena unarudia kuyatamka just to make sure husahau kukikucha.

Ila umerudi home saa 7, unanuka pombe, hapo mimi koo lienikauka, mbuzi nina hamu nae, nimekula ndondo unagonga kwa fujo, simu text za small house zinagongana afu ujite kunigusa!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! NAKUSUNYA LIVE BILA CHENGA!
 
Duh!! Sijui nifanyaje!!
 
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya
udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo
usivume,na una hela na kazi nzuri sana,Kama una
KIBURI,LUGHA MBOVU,MAJIBU MABAYA....Hakuna
Mwanaume atakaa na wewe
Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje
kuniacha na mi ni mzuri hivi',Jifanyie Internal Scanning
kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume,Mafaha
li wawili hawawezi kukaa zizi moja...Yaani wewe
Afande KIBESI,na Mmeo Koplo KIBESI,Huo sio
Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.
A woman should be tender..Soft-tonned..a
listener..Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu,we unajifanya
kidume,wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata
kama nimeukosea mimi
UNAHAMWA!

kama huna cha kupost si ulale mambo ya kukopi post za wenzenu tena zlizo jadiliwa ni uchache wa fikra inamaana ww huwez kupost ya kwako??
 
we nawe aliyekwambia mwanaume anasifiwa kwa KIBESI nani? yaan upo upo tu husomeki nyumban hatubadili mboga halafu ulete KIBESI? labda huko kwenu sitimbi. mjini hapa LETA KIBES LAKINI SALIO LISOMEKE LASIVYO NTAKUNYALI TU NA KIBESI USHUZI CHAKO.
 
sam una ID ngapi?
hii thread nimeiona mchana
 
Wanaume na nyie!!!!!

Kuwa tender nasoft kunategemea na circumstances. Wewe mtu umefanya mmbo ya hovyo afu kama bozongwa niendekeze tenderness? Thubutu!!!!!!!!!!!!!!!! Vita vikuu vya dunia mnavitakaga wenyewe.

Yaani urudi home, in high spirits, na kazawadi mkononi, hapo hapo unaniambia nioge fasta tuipoze koo na kuku choma, kwenye unywaji unaniambia how you love me, n staff na mpangowa kuninunulia jichenila dhahabu. Nikisemese vibaya NIMEROGWA? Thubutuuuuuuuuu!!!!!!!! Hapo inabakia ku cement hayo mawazo yako tu usije ghairi.

Yaani hata kama haikuwako kwenye plan, tukifika mlangoni tu nachojoa nguo zote, na kulianzisha game hapo hapo mlangoni. Nahakiisha yote ulionena unarudia kuyatamka just to make sure husahau kukikucha.

Ila umerudi home saa 7, unanuka pombe, hapo mimi koo lienikauka, mbuzi nina hamu nae, nimekula ndondo unagonga kwa fujo, simu text za small house zinagongana afu ujite kunigusa!!!!!!!!! Weeeeeeeeeeeee! NAKUSUNYA LIVE BILA CHENGA!

Ngoja nikauze shamba la baba pamoja na msitu wote wa miti ya mbao
 
sam love umeshaiposti hii kwa id yako nyingine ya mama la mama!kama sio hivyo useme umeitoa wapi posti hii

jamani hamjui kusoma hata picha ?? I am great thinker u know!! Haha! Post za namna hii wapendwa zinatoka huuukoooo facebuko ! Na ndio maana mnaona mtu anapoibamba huko anaimuvuzisha huku bila kujua mwingine kaileta mwisho wa siku zinabambana!! Kama nimekosea Fanyeni ka utafiti
 
Last edited by a moderator:

Hii point imetulia hongera Munkari kwa utafiti wako
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom