Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

Mwanamke staha na kauli nzuri ndo silaha

mama la mama

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
304
Reaction score
152
Hata Uwe Mwanamke mzuri kiasi,mwenye rangi ya udongo wa fedha na kiuno kinachozuia upepo usivume, na una hela na kazi nzuri sana,Kama una KIBURI, LUGHA MBOVU, MAJIBU MABAYA.Hakuna Mwanaume atakaa na wewe

Wakati mwingine mnaachwa mnajiuliza,'Amewezaje kuniacha na mi ni mzuri hivi', Jifanyie Internal Scanning kuhusu TONE yako unapoongea na Mwanaume, Mafahali wawili hawawezi kukaa zizi moja.

Yaani wewe Afande KIBESI, na Mmeo Koplo KIBESI, Huo sio Uhusiano ila ni kikosi cha Askari wa Kiwango Security.

A woman should be tender.

Soft-tonned.

Alistener.

Huwa mnazidiwa vitu vidogo tu, we unajifanya kidume, wakati MCHEPUKO unaongelea puani hata kama mwanaume ndo kakosea, Shoga usimtafute mchawi wa ndoa/yako mahusiano yako n wewe mwenyewe na kibesi chako, wataka jitia jabali haki sawa, kama haki sawa KOJOA UMESIMAMA NA USIJIKOJOLEE!
 
Mwanmme akupende tu, atakuchukulia na mapungufu yako.
Mengine ni kujilisha upepo tu.

Na kiburi, lugha mbovu, tone, majibu mabaya ni athari za makuzi.

Mie nikikutana na mwanamme wa Pwani lazima azanie namfokea kunipandia juu, kumbe hapo ndio niko kwenye 'the very romantic voice of mine in spanish simulation'

Can't change my mother tongue for anything, this is who i am, take it or leave it.
 
ha!ha!haa duh!eti afande kibesi!@mama la mama umenikumbusha rafki angu mmoko she is very beautiful ila ni mbabe mpaka basi yani! really hakai n mwanaume hata two weeks anakimbia ameamua kuzaa 2 amekata tamaaya kuwa in relationship na kuchange hawezi sijui hataki ah!
 
17774_563658760364789_1652591209_n.jpeg
 
Mwanmme akupende tu, atakuchukulia na mapungufu yako.
Mengine ni kujilisha upepo tu.

Na kiburi, lugha mbovu, tone, majibu mabaya ni athari za makuzi.

Mie nikikutana na mwanamme wa Pwani lazima azanie namfokea kunipandia juu, kumbe hapo ndio niko kwenye 'the very romantic voice of mine in spanish simulation'

Can't change my mother tongue for anything, this is who i am, take it or leave it.

Wewe utakuwa Mkulya, swali kali jibu kali ndio sera yenu.
 
ushauri mzuri ..............ila umpate mwanaume ambaye anayejua thamani ya mwanamke!
Nyama laini ya ulimi ni muhimu jamani kwa wenza wetu...........maisha yanazidi kuwa matam maradufu!!!
 
Back
Top Bottom