Uzee mwisho Chalinze, mjini Kila mtu baby

Uzee mwisho Chalinze, mjini Kila mtu baby

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2007
Posts
2,976
Reaction score
2,176
Katika kutimiza adhima ya kumurudishia sifa zake Muumba wangu, leo kama kawaida yangu nilikwenda kanisani kwenye ibada, yaani mimi ni Mgalatia kama watani wetu wa jadi walivyotubatiza. Katika somo kwa waumini katika ibada ya leo, kiongozi wetu wa kiroiho kalaani kwa nguvu zote wale wote wanaounga mkono na kuendekeza usemi wa Uzee Mwisho Chalinze, Mjini Kila Mtu Baby!!! Amesema hao ndio wanaendeleza mambo ya Sugar Mummy, Sugar Daddy, Serengeti Boy, Nyumba Ndogo, Dogodo na madhambi mengine kadhaa. Nami somo hili limenigusa, nilipotoka nimejikita mtandaoni na kuwaletea hii habari njema na picha kemu kemu. Nawasilisha, kuendekeza na kuamini kuwa Uzee Mwisho Chalinze, Mjini Kila Mtu Baby ni kupalilia mambo ya Ibilisi.

attachment.php


attachment.php



attachment.php


attachment.php


attachment.php


attachment.php






attachment.php
 

Attachments

  • Uzee Mwisho Chalinze 1.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 1.jpg
    95.1 KB · Views: 1,739
  • Uzee Mwisho Chalinze 5.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 5.jpg
    40.4 KB · Views: 3,191
  • Uzee Mwisho Chalinze 7.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 7.jpg
    32.8 KB · Views: 437
  • Uzee Mwisho Chalinze 8.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 8.jpg
    29.9 KB · Views: 1,406
  • Uzee Mwisho Chalinze.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze.jpg
    20.8 KB · Views: 1,600
  • Uzee Mwisho Chalinze 4.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 4.jpg
    15.7 KB · Views: 1,471
  • Uzee Mwisho Chalinze 3.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 3.jpg
    31.7 KB · Views: 1,417
  • Uzee Mwisho Chalinze 2.jpg
    Uzee Mwisho Chalinze 2.jpg
    45 KB · Views: 1,641
Huyu mzee naona kitu kimemkolea hasa.........

na lile tangazo la Tigo ndio linazidi kuufanya huu msemo uwe famous mara mbili yake

attachment.php
 
Hivi kwanza maana ya msemo "Uzee mwisho Chalinze, mjini kila mtu baby" ni nini?
 
ha!ha!haaaa yeuuuwi jaman!itakua ngumu sana kupinga huo msemo babu Asprin alivyonikoleza ah wap si rahisi kwa kweli!! Mama Mdogo asante kwa kutukumbusha.
 
Last edited by a moderator:
mhhhhhhhhhh wazazi wa wenzio hao. hebu weka na wa kwako
 
maskini kabinti ka UVCCm kameangukia kwa baby
 
Hivi kwanza maana ya msemo "Uzee mwisho Chalinze, mjini kila mtu baby" ni nini?

Msikilize joti kwenye tangazo la tigo la kwenye redio. Pili ukitokea mikoani au kama unakwenda mikoani kupitia Barabara ielekeyao kanda ya Kaskazini mara umalizapo Chalinze mjini utakuta Kibao kimeandikwa ""Chalinze Mzee" na hapa ndo chimbuko la huu msemo
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa......funny just
 
Hivi ukizaa mtoto ataitwaje kama babake ndo bby
 
Msikilize joti kwenye tangazo la tigo la kwenye redio. Pili ukitokea mikoani au kama unakwenda mikoani kupitia Barabara ielekeyao kanda ya Kaskazini mara umalizapo Chalinze mjini utakuta Kibao kimeandikwa ""Chalinze Mzee" na hapa ndo chimbuko la huu msemo

Hilo tangazo la Joti nalifahamu, na huu msemo naufahamu hata kabla ya hilo tangazo...

Kwa hiyo ina maana ni hicho kibao tu ndio kimeleta nongwa nzima huku mijini hadi ikawa maarufu hivyo?
 
Mbona picha ya Kapuya haipo na ile ya Mengi na Jaq Ntuyabaliwe wekeni basi thread ikamilike
 
Back
Top Bottom