Je, hii ni kumlinda mpenzi wako au ushamba?

yenyewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
621
Reaction score
94
Habari wadau?

Kuna hii ishu inanchanganya kidogo.

Unakuta mtu anaweka wazi masuala yake kwenye mtandao mfano utakuta kwenye profile yake facebook kaweka in relationship with Neema..au kila muda mtu anatupia picha zake na mpenzi wake kwenye mtandao, au kama ajatupia picha basi yeye atakua wa kwanza kucoment kwenye kila picha anayoeka mpenzi wake..utachek umetoklezea mke wangu, wakati hata hawajaoana.

Jaman eti ni sahihi kumlinda mpenzi wako kwa staili hii au hii ni kufungiana riziki?
 
kuexpose sana mapenzi kwenye mitandao sioni kama sawa...kuna watu wanaandika maisha yao ya kila siku kwenye face book
 
wala sio ujinga wala sio vibaya ,,,,, si mpenzi wake na ule si ukrasa wake ,,,, ndo mana anafanya anacho jiskia wala sio ushamba ni mapenzi yao wao binafsi mapenzi hayana siri nampaka wameamua kuweka wazi basi hujue ,,,, mmezidi kumsumbua mpenzi wake ,,, ulikuwa hujui kuwa ,,,,, wasi wasi nao nihakili,,?
 
Dah! Kuna mdogo wangu ameathirika na hii kitu nadhani. Yani huko fesibuku kila picha anayoiweka lazima ampe maelezo mpenzi wake, eti 'Is.... hapo nlikuwa nimetoka kulala' au Is... unamkumbuka huyu' Ila nadhani wengi wenye hii tabia ni watoto
 
Hahahaaa.......inaonesha mwandishi jamaa kakuzibia riziki mahali. Umeona jamaa anakaba hadi kona ukaona ukimbilie jf. Pole sana
 
ah!kiukwel mtoa madaa kila mtu ana uhuru na profile yake kwa namna 1 ama nyingine!!lakin huo utoto sirudii tena yalinishuka mie mpaka kwenye ndala sitaki tena sa huyo mdogwako mwache dawa yake ipo jikoni.
 
Wenyewe wanaona "this is living" mkuu we ndo utaonekana mshamba kwao.
 
Habari wadau?

Kuna hii ishu inanchanganya kidogo.

Unakuta mtu anaweka wazi masuala yake kwenye mtandao mfano utakuta kwenye profile yake facebook kaweka in relationship with Neema..au kila muda mtu anatupia picha zake na mpenzi wake kwenye mtandao, au kama ajatupia picha basi yeye atakua wa kwanza kucoment kwenye kila picha anayoeka mpenzi wake..utachek umetoklezea mke wangu, wakati hata hawajaoana.

Jaman eti ni sahihi kumlinda mpenzi wako kwa staili hii au hii ni kufungiana riziki?

Ngoja apigwe kibuti sasa, Mtamuonea huruma.

Nilikuwa na jamaa yangu alikuwa ana hyo tabia.

Alipopigwa kibuti alichizika. Akawa anamdiss humohumo facebook
 
Mbona umeuliza kama vile wewe ndiye unayenyimwa hiyo riziki?? Mmmmmh!!!
 
Ngoja apigwe kibuti sasa, Mtamuonea huruma.

Nilikuwa na jamaa yangu alikuwa ana hyo tabia.

Alipopigwa kibuti alichizika. Akawa anamdiss humohumo facebook

Na hapa ndio shida inapoanziaga, pamoja na kwamba kudiss ni tabia ya mtu.
 
wala sio ujinga wala sio vibaya ,,,,, si mpenzi wake na ule si ukrasa wake ,,,, ndo mana anafanya anacho jiskia wala sio ushamba ni mapenzi yao wao binafsi mapenzi hayana siri nampaka wameamua kuweka wazi basi hujue ,,,, mmezidi kumsumbua mpenzi wake ,,, ulikuwa hujui kuwa ,,,,, wasi wasi nao nihakili,,?

Grace Komba u r ryt, 100%!
 
Back
Top Bottom