Elimu gani unayoulizia wew?? ya shule ama ya maisha?? Kama ni ya shule basi muhimu awe anajielewa hapo hamuna madhara, manaake unaweza ukaoa wa degree akawa mzigo bora hata huyo aliemaliza darasa la 4
Mke lazima awe na criteria fulani zinazomfanya amuheshimu mume wake. Piga ua mke akiwa juu kwa lolote zaidi ya mume - ndoa hiyo ni mgogoro. Wanawake wanaodhani ni wasomi wana nyodo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.