Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau naomba mnijuze/kunifungua kidogo ni vigezo/dalili gani unaweza kuziona na kutambua kwamba mwanamke flani anakupenda.Labda upo nae ofisi moja.Umekutana nae ktk usafiri.Mmekutana...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Kuna mdada ananitatiza sana anaonesha kunipenda kupita kiasi, ila binti mwenyewe hana ajira na ni mtu kamaliza muda tu kidato cha nne kama sio alifeli basi itakuwa div 4 maana hakuendelea wala...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mchagulie member umpendae zawadi ya maua katika ya haya kwa ajili ya valentine day kabla mwengine hajakuwahi:):)
13 Reactions
324 Replies
50K Views
Ilikuwa mwaka 1995, tulidandia train mimi na rafiki yangu John,nakumbuka mifukoni tulikuwa na elfu nne tu kila mmoja! njia wala vituo hatujui tukiwa njiani nilinasa mikononi mwa TT nikapigika na...
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari za sasa wana jukwaa, natumai kuwa mu wazima wa afya kabisa. kwa upande wangu mimi excel, hali yangu si nzuri! niliemtegemea amekwaa point 48! kweli inaniuma sana! sasa ndugu zangu, najua...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
Binti mmoja alimuomba mpangaji mwenzie wa kiume ndoo ya kuogea.kwa bahati mbaya binti alisahau c.h.u.p.i yake kwenye ile ndoo. Binti akamwambia,samahani shem kuna kitu nimesahau kwenye ndoo...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Salamu kwa wote, Mi ni yuleyule mpenzi wangu hataki tukacheki afya, Jamani mapenzi yananiumiza sina raha ndugu zangu, nampenda sana huyu mpenzi wangu lakini yeye simuelewi. Nina miaka 27, nina...
0 Reactions
99 Replies
12K Views
Dah Leo nimekaa hapa Nkawaza ni Somo gani nlikua nalipenda in my past school life, Hahahaha nkarealize ni Economics.....pale form five na six enzi hizo hakuna Division IV.49, Kuna topic moja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kifupi , nina rafiki yangu ambaye ameoa siku si nyingi sana kama miezi 4 imepita, kabla hajaoa alikuwa anapata taabu sana kupata demu hata alie muoa walisumbuana sana . But baada ya kuoa tu...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanawake walio wengi wanataka waolewe na wanaume hasa wenye vipato vikubwa. Jambo hili limewatawala akili yao hivyo nakushindwa kujiuliza huyo mwanaume kapataje pesa. Kumbukeni kuwa 1. Kuna...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna rafiki zangu 5 na work mates kama watatu wameachana na wachumba zao kisa wanapenda vitu vya gharama kubwa kuliko uhalisia wa maisha. Wanalalamika kwamba hao WACHUMBA matumizi ya kuwahudumia...
9 Reactions
176 Replies
19K Views
Habari zenu wana MMU, Kuuliza sio ujinga, naomba shule ya maneno mazuri ambayo ukiwa unamwambia mpenzio/mkeo ataongeza kukujali na kuwa karibu na wewe sikuzote kwa mambo yote katika kuendesha...
0 Reactions
20 Replies
17K Views
Katika story nyingi vijiweni utasikia wakisema mkoa unaoongoza kwa wadada wembamba "Model" ni Dar na mikoa ya kanda ya Ziwa wadada wenye makalio yaani waliobinuka wanapatikana sana huko je kuna...
0 Reactions
43 Replies
7K Views
It is natural and inexpensive conditioner for your hair. Take a cup of mayonnaise and add 3 egg yolks,mix ingredients evenly and the treatment is ready for applying . Apply the mask on your...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siipendi tabia ya baadhi ya watu wazima(walionizidi umri) nikiwaamkia wanaipa hadhi ya kitofauti salam yangu mfano 'shikamoo' utasikia akijibu 'aah! Poa dogo mambo!'.............ila kinachokera...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari girls? natafuta mwamke awe mpenzi wangu kwa sharti la kunivumilia maana mimi nimepitia katika mapenzi ya jinsia moja so nataka mwanamke atakeweza kunifanya nikasimamisha vizuri tunapokuwa...
0 Reactions
52 Replies
5K Views
Najua kuwa popote kwenye mkutano wa watu wa aina yoyote ile huwezi kuepuka baadhi ya watu kuvutiana kimapenzi Hilo liko wazi Kwenye hili ninalolizungumza hapa nadhani wengi walishasema lakini leo...
14 Reactions
277 Replies
17K Views
Nimefika kwa ndugu kama ugenini kanipokea vyema, nikaishi hapo siku za mwanzo na kawaida limoti ya tv ilikuwa ipo hapo sebuleni kwenye kabati, cha kushangaza baada ya kama wiki ile limoti...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
As today we are celebrating women's day let me share wisdom words with all strong ladies out there.....i heard once someone telling someone that "the world aint all about sunshine and...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Suala hili la ndoa za jinsia moja limekua likitusumbua kwavile viongozi wengi wa Afrika wamekua wakijiumauma kulikataa na kulikemea. Leorais wa Uganda mh Yoweri Museveni ametia saini sheria...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…