Inusuru ndoa hii

Inusuru ndoa hii

bunited

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2014
Posts
815
Reaction score
216
Binti mmoja alimuomba mpangaji mwenzie wa kiume ndoo ya kuogea.kwa bahati mbaya binti alisahau c.h.u.p.i yake kwenye ile ndoo.

Binti akamwambia,samahani shem kuna kitu nimesahau kwenye ndoo.

Msela akajibu,pita ndani uchukue shem.binti kaenda kuchukua akiwa kavaa kanga moja tu,ile anatoka kwa msela na mumewe anaingia akakuta mkwewe anatoka kwa msela kavaa kanga 1 kashika c.h.u.p.i mkononi.JE wewe ungemsaidia vipi huyu binti?
 
binti mmoja alimuomba mpangaji mwenzie wa kiume ndoo ya kuogea.kwa bahati mbaya binti alisahau c.h.u.p.i yake kwenye ile ndoo.Binti akamwambia,samahani shem..,kuna kitu nimesahau kwenye ndoo.Msela akajb,pita ndani uchukue shem.binti kaenda kuxhukua akiwa kavaa kanga moja tu.ile anatoka kwa msela na mumewe anaingia akakuta mkwewe anatoka kwa msela kavaa kanga 1 hlf kashika c.h.u.p.i mkononi.JE ww ungemsaidia vp huyu binti

Hadisi hii ya siku nyingi kakufundisha nani?

Na hapa ndo mwisho wa kipindi cha cheichei shangazi kutoka radio Tanzania, Daslam.
 
Hadisi hii ya siku nyingi kakufundisha nani?

Na hapa ndo mwisho wa kipindi cha cheichei shangazi kutoka radio Tanzania, Daslam.

hahahaha! Dah! Babu! Umenichekesha kweli!
 
Hapo hamna cha kushauri.Mwenye macho haambiwi tizama.
 
Maskini, Mwambie Mzizi Mkavu na G Sam wakufundishe hadithi zao
 
Enzi hizo ukisikia stori kama hizi kijiweni basi tunacheeeeka...
 
Enzi hizo ukisikia stori kama hizi kijiweni basi tunacheeeeka...
Hahahaha watu8 umenifanya nicheke sana nikikumbuka vijiweni na hizi story.
Hahaha
 
Last edited by a moderator:
binti mmoja alimuomba mpangaji mwenzie wa kiume ndoo ya kuogea.kwa bahati mbaya binti alisahau c.h.u.p.i yake kwenye ile ndoo.Binti akamwambia,samahani shem..,kuna kitu nimesahau kwenye ndoo.Msela akajb,pita ndani uchukue shem.binti kaenda kuxhukua akiwa kavaa kanga moja tu.ile anatoka kwa msela na mumewe anaingia akakuta mkwewe anatoka kwa msela kavaa kanga 1 hlf kashika c.h.u.p.i mkononi.JE ww ungemsaidia vp huyu binti

Wewe acha umaluuni
Achana na stori za kijiweni za kufikirika.
Kama huwezi anzisha mada: soma za wenzako na kuchangia
Ulichokindika ni upambafu

Bazazi
 
Marhabaaaaaaaaa mtoto mzuri,hujambo?

Mama paroko naona hapatikani sijui kwanini

Vipi huko kwako nafasi ipo au za uso?
Hapatikani kivipi? Analeta pozi au mtandao.

Huki kwangu usisogeeeee uparoko utakushindaaaaa na kondoo wako watapotea.
 
Hadisi hii ya siku nyingi kakufundisha nani?

Na hapa ndo mwisho wa kipindi cha cheichei shangazi kutoka radio Tanzania, Daslam.

Hhahhahahahahah

Hazbendi umeuaaaaa

Walaahi na hizi divisheni foi tutakoma humu ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom