Kwanini wanawake wengi, hujipendeka sana kwa wanandoa?

Kwanini wanawake wengi, hujipendeka sana kwa wanandoa?

sangwine

Senior Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
144
Reaction score
45
Kwa kifupi , nina rafiki yangu ambaye ameoa siku si nyingi sana kama miezi 4 imepita, kabla hajaoa alikuwa anapata taabu sana kupata demu hata alie muoa walisumbuana sana .

But baada ya kuoa tu wanawake wengi sana wamekuwa wakijisogeza kwake, wengine akiwapima tu wanaingia laini.

Je, najiuliza sana kwanini hali hiyo?
 
Anatunzwa sasa anaonekana mtu ,anatakata,anakula na kushiba kwa wakati,anapumzika mwili na mawazo halafu aanze kubinua pua kumdharau mkewe!!!!!!
 
Kwa kifupi , nina rafiki yangu ambaye ameoa siku si nyingi sana kama miezi 4 imepita, kabla hajaoa alikuwa anapata taabu sana kupata demu hata alie muoa walisumbuana sana .

But baada ya kuoa tu wanawake wengi sana wamekuwa wakijisogeza kwake, wengine akiwapima tu wanaingia laini.

Je, najiuliza sana kwanini hali hiyo?

Hayatuhusu sisi muulize yeye
 
Wanaume wengine wakioa wanakuwa na bahati ya kupendwa.
 
mkewe kaanza kumbrush brush.. watoto wa mujin wakimwangalia kwa mbali anang'aa kwanin wasimtolee mimachoo?
 
Kwa kifupi , nina rafiki yangu ambaye ameoa siku si nyingi sana kama miezi 4 imepita, kabla hajaoa alikuwa anapata taabu sana kupata demu hata alie muoa walisumbuana sana .

But baada ya kuoa tu wanawake wengi sana wamekuwa wakijisogeza kwake, wengine akiwapima tu wanaingia laini.

Je, najiuliza sana kwanini hali hiyo?

Waume za watu...

wengi wanapenda sana kinyumba kidogo sijui ndo faraja zao baada ya kero za nyumbani
wanahudumia bila kinyongo afu sio ving'ang'anizi ukimuahidi hata mwezi ujao anasubiri
huwa hawadai vitu vyao sijui ni kuogopa mkewe thubutu sasa kula buku ten ya kijana atakuvizia vichochoro vyote
huwa hawabanani na mtu unakuwa nae but pia upo free kijana anakuganda kama kwapa na kipima joto
na mengine kadhalika yanafanya wanaume walooa kuwindwa
 
Huyo rafiki yako inaelekea kipato chake kimeongezeka au alikuwa mtu ambae hana muda na warembo, warembo wakaona ana matatizo ya kimaumbile sasa baada ya kuoa wanaona amekamilika, warembo hawakujua kumbe umdhaniae sie
 
Ni kawaida ukioa unakutana na "changamoto" kama hizo akili yako itakuongoza
 
Hivi unaanzaje kujaribu hisia za mtu..your fried is a coward
coward? hivi utumiaji wa neno hili kwenye sentensi yako ni sawa! ngoja niende tena shule!
naogopa kusema umekosea maana sometime naonaga kidogo unajitahidi sasa hapa leo sijui mimi ndo sijui ama?
 
Kwa kuwa shetani na hila zake anachukia taasisi ya ndoa... Hutumia sana mlango wa uzinzi kuiharibu hii taasisi. anajua akishaharibu hio, watoto wataharibika, na nchi itaharibika.

Kwa hio kama ni mwanaume atamletea vishawishi vya kumtosha na kama ni mwanamke vile vile. Ni kazi yako mimi na wewe kuvishinda.

Back
Top Bottom