Habari zenu wana MMU,
Kuuliza sio ujinga, naomba shule ya maneno mazuri ambayo ukiwa unamwambia mpenzio/mkeo ataongeza kukujali na kuwa karibu na wewe sikuzote kwa mambo yote katika kuendesha familia bora.
Asanteni kwa michango yenu
Mmmhh ishakuwa kitega uchumi....... kwa heri shosti!!!!!
"Kumtoa nyoka pangoni"
Nyoka yupi? Pango lipi?
Nauliza tu.......
1)nyoka wewe
2)hilo la pango ndo pagumu labda mwingine akusaidie