Salamu kwa wote,
Mi ni yuleyule mpenzi wangu hataki tukacheki afya,
Jamani mapenzi yananiumiza sina raha ndugu zangu, nampenda sana huyu mpenzi wangu lakini yeye simuelewi.
Nina miaka 27, nina kazi ya kudumu, tumekuwa tukigombana mara kwa mara nakuwa mdogo mambo yanaisha maisha yanaendelea.
Mara nyingi ananikwaza nikimuuliza ananitumia meseji za matusi, nikishauri kitu ansema hataki kushauriwa, tunaishi mkoa mmoja lakini hana time na mimi kabsa, cha ajabu mesg za kusema ananipenda hazikawii.
Napata wakati mgumu sana, hajawahi kuninunulia hata kazawadi ka shilling 500!hana muda wa kuspendi na mimi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu na kila tukitofautiana iwe ni yeye chanzo au ni mimi ananitumia meseji za matusi, ninapohisi nimekosea namwomba msamaha but naambulia matusi, akinikosa yeye anarudisha kosa upande wangu na msg za matusi.
Anajifanya ni mbabe, na kama katili flani, ubahili ndo usiseme. Kanambia tuanze process za ndoa ila naogopa maana nawaza hivi tukioana atakuwa anatunza familia? maana anaoekana sio mtoaji hata kidogo japo anapata almost laki 3 kwa siku.
Pia atakuja kuacha matusi au atanitukana mbele za watu au watoto?
Naombeni ushauri wenu kichwa kinaniuma hapa nilipo nikifikiria na umri ndou unaenda.
asanteni.