Mdogo wangu aishie moshi anatafuta mke mkristo born again. kazi yake ni mwl. wa shule ya msingi yupo moshi(wilaya ya same). umri wake ni 33yrs. kama uko serious pm nikupe namba yake ya simu.
Habari zenu waungwana...natumaini mko poa.
Jamani niko kijiweni hapa na washikaji,umezuka mjadala mzito kuhusu mpango mzima wa kuzama chumvini na ulambaji koni...baadhi ya wadau wakijaribu...
hallow wana JF
Najitokeza kwa mara kwanza hapa JF kutafuta rafiki wa kike ambae baadae atakuwa mke wangu,mimi nina sifa hizi
-umri wangu ni miaka 36
-urefu ni cm 168
-siyo mwemba siyo mnene ni...
Mwangaruka
Sio Kila Rafiki anafaa kuwa Rafiki yako Maishani. Kuna Watu ninaowajua wamefanikiwa through Friends, na wengi ninaowafahamu Maisha yao yamebomoka kupitia hao hao Marafiki. Nyakati...
Juzi kwenye saa sita mchumba wa jamaa yangu wa karibu sana alinipigia simu kuniuliza kama niko ofisini anipitie tukale nae lunch.
Saa saba kama dakika kumi akapiga siku kuniambia ameshafika yuko...
Leo nimeamua kuwaletea huu uhalisia.
Bila shaka tunawajua dada zetu wanaotumika katika Bar mbalimbali maarufu na zile zisizo maarufu. Ulishawahi kujiuliza wanalipwa kiasi gani?
Juzi nilikuwa...
Za leo wakuu!
Nina mschana ambaye tunapendana kwa dhati sana, ananipenda na ninampenda ila bado hatujatambulishana kwa wazaz......na tunamahusiano huu mwaka wa tatu. Lkn tatizo ni kwamba! Huyu...
Habari wadau, Kwa waliondani ya ndoa na wengine wanaoishi pamoja wapenzi wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuweka ratiba ya tendo la faragha /ndoa mfano wengine kwa wiki mara moja, kwa mwezi mara...
kama heading inavyosema, nna e71 yyt mwenye androad smart 4n tubadilishane, na kama ikiwezekana nmuongezee ela, it depend na hadh na quality ya cm yako..npo dar..
Nb.
Blackbell na nokia cziitaji
Wana MMU naombeni msaada wa ushauri..
Kabla sijaoewa nilikua na tabia ya kuwanunulia wazazi wangu zawad mbalimbali..mfano nikimnunulia mama vitenge au makatalogi yaliyotoka baba nae humnunulia...
Wamama & wadada wa JF habari zenu, haitakiwi kutoa siri za wanaume wenzangu,
ila lazima niwaambie, muwe MAKINI KWA WAUME ZENU UKIJIFUNGUA HADI MIEZI 6
HIVI wakati unaendelea kulea, mumeo/ BF wako...
Wana Jamvi,
Mimi nafanya kazi kwenye mabasi ya kwenda Mombasa yakitokea Dar es Salaam ( Tahmeed ) na vice versa
Katika harakati zangu nimeshakupambana na Wadada wa Kikenya wawili ni wazuri kwa...
Kuna mdada 1 niliwahi kutoka naye kama miezi 6 ilopita, nilitumia condom, kabla ya tendo alininyonya uume, wakati ananyonya alikua akiung'ata ng'ata sana mpaka nikawa nasikia maumivu.
Kuna siku...
Sio ajabu sikuhizi ukipita kila kona utakuta watu wengi wakipoteza muda wao mwingi wakijihusisha na matendo machafu ya ngono ikiwa aidha kupenda ngono, kutongoza ovyo ovyo, kuangalia ma porno...
Jamani bandugu mi natafuta mpenzi wa kuanzanae maisha yaani kufunga nae pingu za maisha awe mke wangu.awe natabia nzuri pia awe mwalimu wa shule ya msingi! Ambae yuko tayari tuwasiliane!
Nina mpenz wangu ambae nampenda sana kipindi tunaanza uhusiano baadhi ya rafiki zake waliniambia ana mtoto ila yeye hakuwahi kuniambia na nilipo muuliza alikubali ila akadai mtoto wake amempeleka...
Niwasalam wana mmu,ni matumaini yangu kila moja ni mzima wa afya na anaendelea na majukumu yake ya kila siku,kwa ambao wana matatizo mungu awape ufumbuzi
Lengo la uzi huu ni kutaka kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.