yamenikuta mwenzenu sijui nifanye nini?

yamenikuta mwenzenu sijui nifanye nini?

joyce rabiel

New Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Nina mpenz wangu ambae nampenda sana kipindi tunaanza uhusiano baadhi ya rafiki zake waliniambia ana mtoto ila yeye hakuwahi kuniambia na nilipo muuliza alikubali ila akadai mtoto wake amempeleka kwa mama yake aliogopa kuniambia maana nilikua ni mapema mno , tukaendelea na maisha kumbe alikua ananidanganya baada ya muda kupita nikagundua kwamba nikweli anamtoto na huyo mwanamke aliye zaa nae bado niwapenzi nikamuuliza alicho nijibu nikweli yuko karibu nahuyo mwanamke ili kulea mtoto wake tu hana mpango nae.

Nimekosa imani nae nikweli nampenda ila mapenzi yakushea siwezi natamani kuachana nae ila nashindwa najihisi sina thamani tena sielewi nifanye nini naombeni msaada wenu jamani.
 
Unajihisi huna thamani kivipi?Au kwa kuwa umeishagawa papuchi?Dada zangu kila siku nawaambia usigawe Bikira yako mpaka uolewe hiyo ni zawadi pekee kwa mumeo.Lakini madam imetokea hebu salimisha maisha yako kwa Mungu halafu tulizana kabisa.
 
Uligundua kwamba ana mtoto na huyo aliezaa nae bado anaendelea nae sio.. Swali.. Ulipata uhakika gani kama kweli bado anatembea na huyo baba watoto wake..? Maana kama una uhakika na ushahidi kwamba bado anaendelea na baba watoto wake basi unatakiwa ufanye moja kati ya haya mawili.. Au umuache na kuendelea na maisha yako au ukubali kuendelea kuchangia na baba watoto wake..

Ila kama huna uhakika bali ni mchanganyiko wa uoga na wivu ushauri wangu kwako ni huu.. Mapenzi ni kuaminiana.. Kama mwenzio hajakupa sababu ya kutomuamini then huna sababu ya kukosa raha na kutomuamini..
 
nina mpenz wangu ambae nampenda sana kipind tunaanza uhusiano baadhi ya rafiki zake waliniambia ana mtoto ila yy hakuwah kuniambia na nilipo muuliza alikubali ila akadai mtoto wake amempeleka kwa mama yake aliogopa kuniambia maana nilikua ni mapema mno , tukaendelea na maisha kumbe alikua ananidanganya baada ya mda kupita nikagundua kwamba nikweli anamtoto na huyo mwanamke aliye zaa nae bado niwapenz nika muuliza alicho nijibu nikweli yuko karibu nahuyo mwanamke ili kulea mtoto wake tu hana mpango nae. nimekosa iman nae nikweli nampenda ila mapend yakushea siwez nataman kuachana nae ila nashindwa najihic cna thaman tena celewi nifanye nn naomben msaada wenu jaman

Kama huwezi mapenzi ya ku share unasubiri nini hapo? Unavyosema unashindwa kuachana naye unamaanisha nini?
Mradi umeshafanya maamuzi basi endelea naye tu siku ukisikia kamuoa huyo mzazi mwenzie ili walee vizuri mtoto ndiyo akili itakukaa sawa na utajua cha kufanya!!!
 
Wao ni wazazi ni lazima wasaidiane kulea mtoto... Halafu usipende kusikiliza maneno ya watu
 
wewe si utafute mwanaume mwingine acha kujitia unajua kupenda sana
 
Kinachokushinda kuachana nae ni nini? tupe kithibitisho kinachoonyesha kweli bado anaendelea na uhusiano na huyo mwanamke alie zaa nae au ni hisia zako tu kutokana na wivu ulio nao? mwisho kama alivyokwambia mdau hapo huu acha kusikiliza maneno ya watu fanya maamuzi kwa uthibitisho wako mwenyewe sio kupitia maneno ya kuambiwa
 
Ikiwa unampenda endelea kumpenda maana kumuacha wakati unampenda ni kuutesa moyo wako. cha msingi ukubaliane na hali na mazingira kuwa tayari amezaa na mwanamke mwingine na ana haki ya kumtunza huyo mtoto ikiwa ni pamoja na kukutana na huyo mzazi mwenzie kwa ajili ya mipango kuhusu mtoto. habari zingine za kusikia achana nazo.
 
Joyce; ........... khanga, gauni, blauz, kitenge n.k hivyo ndo mali yako. "MUME NI MALI YA UMA"
 
Kinachokushinda kuachana nae ni nini? tupe kithibitisho kinachoonyesha kweli bado anaendelea na uhusiano na huyo mwanamke alie zaa nae au ni hisia zako tu kutokana na wivu ulio nao? mwisho kama alivyokwambia mdau hapo huu acha kusikiliza maneno ya watu fanya maamuzi kwa uthibitisho wako mwenyewe sio kupitia maneno ya kuambiwa

Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe....
 
Alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe....
hivi mada umeisoma au unajibu tu? hicho ulichokisema kina apply kwa wana ndoa tu sio alimradi watu wako kwenye mahusiano wana gegedana
 
hivi mada umeisoma au unajibu tu? Hicho ulichokisema kina apply kwa wana ndoa tu sio alimradi watu wako kwenye mahusiano wana gegedana
dada usipanic ni kweli waanafanya tendo la ndoa na ni zaid ya mara 12 sasa si wanandoa hao wanasubiri cheti tu.
Pigana mpaka mwisho ujue hatma yako ni nini ukumwacha shauri yako anajirudisha kwa mzaz mwenzake waendelee kulea mtoto wao tena mme siku hizi ni daladala ukishuka mwingine anapanda mama
 
Unajihisi huna thamani kivipi?Au kwa kuwa umeishagawa papuchi?Dada zangu kila siku nawaambia usigawe Bikira yako mpaka uolewe hiyo ni zawadi pekee kwa mumeo.Lakini madam imetokea hebu salimisha maisha yako kwa Mungu halafu tulizana kabisa.

asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom