Mchumba wa rafiki yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchumba wa rafiki yangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sarikoki, Jun 15, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Juzi kwenye saa sita mchumba wa jamaa yangu wa karibu sana alinipigia simu kuniuliza kama niko ofisini anipitie tukale nae lunch.

  Saa saba kama dakika kumi akapiga siku kuniambia ameshafika yuko parking, nilimfata tukaingia kwenye mgahawa wa hapa ofisini.
  Kwa kweli hakuwa comfortable mpaka ilinibidi nimuulize kulikoni,alianza kama hivi.

  Unajua shem, naomba usinielewe vibaya ila hichi kitu nilitaka nikueleze toka sikunyingi lakini nilivumilia nikijua kitaisha ila naona tunaelekea kwenye ndoa na hali ni ileile na rafiki yako hataki ushauri wangu.

  Nikamuuliza kulikoni tena mbona unanishtua.

  Akavuta pumzi akarudisha kijiko kwenye sahani akaanza kuongea kwa sauti ya chini .

  Jamaa hafunction vizuri.

  yaani its complicated.

  Kwa kweli nilihisi sikumuelewa hivyo nikaomba arudie.

  Akasema uku ananiangalia machoni; mshkaji wako haisimami vizuri na nimeshamshauri twende hospital toka siku nyingi hanielewi.

  I dont think if i am ready for this shem, no..no,no,no i cant anymore,ziwezi nimekuambia kama rafiki yake wa karibu ili ukisikia malalamiko yoyote ujue sababu ndio hiyo na si nyingine, Ila we can just be friends and hangout kama kawaida,alisimama akaondoka hata chakula hakumalizia.

  Hapa nilipo nimechoka akili na roho, sijui nitaanzaje kumuuliza mshkaji maana siku zote yeye ndo kinara wa kupigiastory za mademu na mastyle ya kumake malove.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  anakutaka huyo....
   
 3. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hapana aisee..yaani anajieshimu sana huyu dada... anajua nina mke na wote huwa tunakuaga pamoja outing
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  problem.....
   
 5. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Mimi tango langu lipo gadu with ful chaji karibu kwangu nikupe raha ya dunia.
   
 6. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Yaah,a big problem.
   
 7. k

  kaeso JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtafune tu ukate mzizi wa fitina, alikuwa anatafuta gia ya kukuingia.
   
 8. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unatisha wewe... tatizo ni mwembamba... mimi na vimodo tofauti. Ila serious hata kama angekua type yangu nisingethubutu kwa jinsi tunyoeshimiana
   
 9. k

  kaeso JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama mnaheshiana basi muulize anataka nini hasa kutoka kwako. Au muulize jamaa (hapa inahitajika ujasiri) kuhusu hilo tatizo mkewe alilokuambia.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  umeielewa thread.....?
   
 11. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Hli tatizo ni kubwa sana na linazidi kukua kila siku,vidume tunazid kupungua
   
 12. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,026
  Likes Received: 2,647
  Trophy Points: 280
  Pombe,vitu vya mafuta,nyama(red meat kwa sana),unywaji mbovu wa maji na matunda,kutokufanya mazoezi,kufuga vitambi,kula chakula kingi wakati wa usiku,too much watching porno,ku-drive hata kama safari haihitaji gari ilimradi tu una ka-low consumption car basi mtu hataki kutembea kabisa n.k,n.k.
   
 13. M

  MJUKUU WA CHIEF Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeguswa kuchangia baada yakuona busara na hekima uliyokua nayo.nimesoma thread zako unaonekana uko makini sana iwapo kama unamaanaisha.
  Napenda nichangie kama ifuatavyo
  Achana na mawazo ya hawo rafiki zako wanaokuambia huyo dada anakutaka,na hata kama anakutaka kweri nakushauri usirubunike niwakati wa kuonesha ukomavu wako wa kimawazo na pia acha kumfikilia yeye fikilia thamani na wajibu wako kutoka kwa mungu wako juu ya mkeo.
  NARUDI KWENYE MAADA HUSIKA
  Mtu anapokufuata na kukueleza kitu au kuomba ushauri ujue ameona kua wewe kwanamna moja ua nyingine unawezakutoa msaada juu ya hilo tatizo. kimsingi kama kweri huyo jamaa nirafiki yako wakarubu rivae hilo tatizo.
  UNAWEZA KUJARIBU KUZUNGUMZIA HILO TATIZO KM STORY VILE NA KUONESHA UFUMBUZI WAKE KWA WATU WALIO WAWAZI NA MADHALA YAKE KWA WATU WALIO WASILI JUU YA HUO UGONJWA.NAAMINI NAE ANAWEKUFUNGUKA AZKIAMI KUA ANAWEZA KUPATA UFUMBUZI NA UKAANZIA HAPO.
  note.NAAMINI HUYO DADA ANAKUAMINI SANA NA ANATEGEMEA KUPATA MSAADA KUTOKA KWAKO.
  Be bleesed
   
 14. a

  actus Senior Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 7, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo dada ni MUONGO atakua ameisha achana na huyo jamaa yake sasa anatafuta njia ya kumucha kwa kumpa kashfa nzito na chafu.think twice mkuu hawa wadada ndo stlye yao siku hizi unaweza kusikia nimemuacha huyo jamaa yenu kisa anakidude kidogo kama SOSEJI au hana nguvu sawa sawa akishapiga kimoja analala.na mnavojua tazizo la nguvu za kiume maana hakuana nguvu za kike basi tunaanza kuelewa hivyo.mie kuna jamaa aliambiwa oohn nimemucha kisa hajui kuperform duh ilibidi niweke rekodi sawa ilikua ni uongo mkubwa coz jamaa tulishawahi kumpiga chabo aaaah asikwambie mtu gemu lake ni soo.
   
 15. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  well said mkuu, kisukari pia watu hatupimi. Ila point ni kwamba nitamwingiaje mshkaji... anaweza akazusha ya kuzusha.
   
 16. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tatizo hizi case zinatofautiana sana, ishu ya kibamia unaweza ukasema uongo, lakini ishu disfunction ni serious.... tena ukiangalia na lifestyle yetu ya bar mpaka saa saba usiku 24/7 ndio balaa kabisa.
  Mwanamke akikusema kuhusu performance yako ya sex usimdharau... yeye anauzoefu na mwanaume aliye na mapungufu anamjua.
   
 17. y

  yaliyomo yamo Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Chabo tena!
   
 18. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Achana na mapenzi ya watu, utakuja kuonekana mbaya bure kwa rafiki yako. Pretend kama hajakwambia vile mana rafiki yako akijua kuwa unajua, utajibeba!!
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Nimeshare hii story yako na Dreva wetu ni mtu mzima; anashauri hivi:-

  Anajua kumuambia best wako ni ngumu, ila kama kuna slo
  soln somewhere (hospt, waganga, maombi) waweza mpa story fake ya issue kama yake huyo jamaa yako na kumweleza soln inapopatikana!

  Kama soln hakuna au unashindwa; then huyo dada kuliko kujipa mkosi kwa kufunga ndoa ambayo haitadumu au itakuwa full cheating bora waachane na wabaki friends tu!

  Inasikitisha sana, poleni kwa mitihani. So happy to be a woman!
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ?????????????????????
   
Loading...