nna e71 nataka mtu wa kubadilishana nae

nna e71 nataka mtu wa kubadilishana nae

Spinster

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
487
Reaction score
138
kama heading inavyosema, nna e71 yyt mwenye androad smart 4n tubadilishane, na kama ikiwezekana nmuongezee ela, it depend na hadh na quality ya cm yako..npo dar..
Nb.
Blackbell na nokia cziitaji
 
Dah!!!!! Spinster ................. are you?
 
Last edited by a moderator:
ulifumaniwa na kimada gani mpaka unataka kubadilishana sim?
 
kama heading inavyosema, nna e71 yyt mwenye androad smart 4n tubadilishane, na kama ikiwezekana nmuongezee ela, it depend na hadh na quality ya cm yako..npo dar..
Nb.
Blackbell na nokia cziitaji

daka p3 tecno kama utataka
 
kama heading inavyosema, nna e71 yyt mwenye androad smart 4n tubadilishane, na kama ikiwezekana nmuongezee ela, it depend na hadh na quality ya cm yako..npo dar..
Nb.
Blackbell na nokia cziitaji


Spinster..swali kwako' unatafuta au bado upoupo kwanza?

e71 siifaham ngoja niigoogle au kama vip tupia picha' maana mi nina iPhone na nimeichoka naweza kukufikilia labda!
 
Me ninayo huwa anaitumia dada wakazi pale nyumbani ngoja nikifika home nitaongea nae kama atakubali kubadilishana kisha nitaku p.m
 
Aiseee simu ya muda mrefu tena sio kidogo ndugu wewe unatunza balaa had leo?
 
khaaaa, nmekosea janvi jaman nsamehen..mmi uwiiii
 
alie serious anipm, hao wengn bwebwe na maneno mengiiiii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom