Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
Kuna mdada 1 niliwahi kutoka naye kama miezi 6 ilopita, nilitumia condom, kabla ya tendo alininyonya uume, wakati ananyonya alikua akiung'ata ng'ata sana mpaka nikawa nasikia maumivu.
Kuna siku nilikutana na mtu ambaye anamfahamu, akaniambia kua yule dada ana ukimwi na kama ninataka uhakika nikawaulize watu fulani, sikuulizia, lakini nilihisi inawezekana kwa jinsi nilivyomuona.
Jana nilienda maisha club, nilikua na mdada mmoja mkenya naongea naye akanionyesha mwanamke mmoja pale akaniambia kua ana ukimwi, nikamuuliza kajuaje? akanijibu kua yeye mwenyewe anasema anao na akigombana na wenzake hua anawag'ata meno ili awaambukize, hapo ndipo nikamkumbuka yule dada niliyetoka naye akawa ananing'ata ng'ata huenda alikua na malengo ya kuniambukiza.
Wadau naomba ushauri wenu