kumlinda mpz ni sawa na kulinda bahari.unalinda kigamboni wengine wanavua bagamoyo.yataka MOYO!!
Si kasema kadhia ya kuvuka...Wamaanisha kumlinda dhidi ya kadhia ipi?
Vere true......
utajijuKivipi? Unajua kama unamke halafu mtu anaongea neno kama hili inachoma ndani ya moyo?
Wamaanisha kumlinda dhidi ya kadhia ipi?
Kubung'uliwa!
Wamaanisha kumlinda dhidi ya kadhia ipi?
Hii lugha gani?
Kichaga!!!!!!!!
Kiswahili ni bwana??????Kiswahili bwana.
Kuna kulinda, kuwinga na kuchunga. Sijui kama anamaanisha ipi
Umekiona alichokimaanisha au siku hizi huoni?Kumlinda mpezi ni sawa na kulinda bahari
Yesu ttiki!!!