Si kila rafiki ndiye rafiki wa kweli

Si kila rafiki ndiye rafiki wa kweli

Lady niece

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2014
Posts
953
Reaction score
414
Mwangaruka

Sio Kila Rafiki anafaa kuwa Rafiki yako Maishani. Kuna Watu ninaowajua wamefanikiwa through Friends, na wengi ninaowafahamu Maisha yao yamebomoka kupitia hao hao Marafiki. Nyakati hizi tunazoishi ni zile zinaitwa "FRIENDS IN BENEFIT" yaani Rafiki wa Faida.

Wengi sana bado hawajalielewa kwa umakini maana ya Neno hili. Sio kwasababu mlisoma pamoja basi ndo anatakiwa kuwa Rafiki yako wakaribu. Tabia ya binadamu yeyote huwa iko ndani and people are very good in pretending.

Katika Maisha haya ya Leo mtu anaweza akavaa uhusika wa kitu fulani ili tu afaulu Mission yake kwako.Wanaume wengi na wanawake wengi waliofaulu Maishani ni wale wenye Mahusiano Mazuri yenye Urafiki wa Karibu na Wapenzi wao.

Bado Ile agenda ya MUNGU ya wawili kuwa mmoja inafanya kazi vizuri sana mpaka Leo kama tu utaiheshimu. Wanaume wengi tunafeli kwenye plani nyingi sana maishani kwasababu ya kutokuwashikisha wake zetu kile kinachoendelea kwa shughuli na kazi zetu za Kila siku ninamaanisha Biashara na mishe mishe zote zinakupatia CASH.

Instead tunawapatia mipango mingi Rafiki zetu ndo wanakuwa wanajua mengi kuliko hata Wake zetu. Hii ni faulo kubwa sana Maishani. Na ukitakata MUNGU abariki mausiano yenu then lazima uheshimu Mchango wa huyu Mwanamke aliyekupa.
Kwanini nasema hivyo? Kwa taarifa yako MUNGU aliweka "UFAHAMU" mwingi sana kwa Mwanamke kuliko Mwanaume. Ila Mwanaume alipatiwa AKILI nyingi sana lakini "UFAHAMU KIDOGO"

So hivi vitu vikiwa separate mambo huwa hayaendi kwasababu tunakuwa nje ya mpango wa MUNGU. Hata tuwadharau vipi eti kwasababu Sisi ni Wanaume, remember one thing You're a MAN but she's also a "MAN WITH A WOMB" though we call her "WOMAN" don't Despise her she's more the Mother of your Children,

Hivyo ni vyema ukamshirikisha mkeo kwa kila jambo, nanyi mkio single au wanandoa watarajiwa ni vyema umshirikishe mtarajiwa wako mambo mhimu ya maisha Karibuni kwa kuchangia na hoja zenu hapa marafiki zangu nawapenda.
 
Honestly speaking, wanawake asilimia kubwa sana 85.67858%;

  • Hawawezi kukaa na siri moyoni(U tell her ur plans anamwambia shosti yake naye anamwambia mwingine na mwingine. The next thing u know everybody knows!).
  • Hawana msimamo kabisa, mkikorofishana kidogo tu, she seeks to destroy u through what you have entrusted her. Iwe mali ama siri za mipango ya maendeleo. They even can turn ur own children aganist you! Yani wamekaa kirevengerevenge sana sana
  • Wako paranoid! Yani ukiwa kimya for a certain time na hakuoni anaanza kufikiria vitu vibaya mbalimbali, hata hujakaa vizuri kashaandaa mpango wa kukukomoa!
  • Jelousy imekaa sana huko na matunda yake yanajulikana.
  • Wana mioyo dhaifu, they can't handle maamuzi magumu ya kifamilia na kimaisha yanayompasa baba kufanya. Hata familia zilizolelewa na single mothers(Because they earn like men they think they run the world-suprisingly they even sing about that{can you believe?}). But hizo familia utaona tu something is missing. Kuna maamuzi mwanaume unafanya na unakaa kimya to death.
I love my wife and I tell her things. Ila kuna vingine sisemi hata iweje! Na mwanaume yeyote nnayemjua ambaye aliwahi kuthubutu hayo @ Home habari yake aliipata.
 
ujumbe mzuri sana Lady niece big up
nadhani wanaume wataufanyia kazi hasa hiyo aya ya mwisho
 
Last edited by a moderator:
Honestly speaking, wanawake asilimia kubwa sana 85.67858%;
  • Hawawezi kukaa na siri moyoni(U tell her ur plans anamwambia shosti yake naye anamwambia mwingine na mwingine. The next thing u know everybody knows!).
  • Hawana msimamo kabisa, mkikorofishana kidogo tu, she seeks to destroy u through what u've entrusted her. Iwe mali ama siri za mipango ya maendeleo. They even can turn ur own children aganist u! Yani wamekaa kirevengerevenge sana sana
  • Wako paranoid! Yani ukiwa kimya for a certain time na hakuoni anaanza kufikiria vitu vibaya mbalimbali, hata hujakaa vizuri kashaandaa mpango wa kukukomoa!
  • Jelousy imekaa sana huko na matunda yake yanajulikana.
  • Wana mioyo dhaifu, they can't handle maamuzi magumu ya kifamilia na kimaisha yanayompasa baba kufanya. Hata familia zilizolelewa na single mothers(Because they earn like men they think they run the world-suprisingly they even sing about that{can u believe?}). But hizo familia utaona tu something is missing. Kuna maamuzi mwanaume unafanya na unakaa kimya to death.
I love my wife and I tell her things. Ila kuna vingine sisemi hata iweje! Na mwanaume yeyote nnayemjua ambaye aliwahi kuthubutu hayo @ Home habari yake aliipata.
huku wamama kule wababa tabu tupu..
 
Pokea like mkuu,yakikaa sawa ndo anajionea mwenyewe.
 
Wanaume wengi tunafeli kwenye plani nyingi sana maishani kwasababu
ya kutokuwashikisha wake zetu kile kinachoendelea kwa shughuli na kazi zetu za Kila siku
ninamaanisha Biashara na mishe mishe zote zinakupatia CASH.

So hivi vitu vikiwa separate mambo huwa hayaendi kwasababu tunakuwa nje ya mpango
wa MUNGU. Hata tuwadharau vipi eti kwasababu Sisi ni Wanaume, remember one thing
Wewe ni mwanaume au kunamahali umekopi na kuja kupesti hapa bila ku edit?
 
hiyo mwanga'ru'ka itakua ya kesho asubuhi..lakini ujumbe mzuri sana ..wanaume wengine huficha hata mali zao kwa wake zao,.kitokea wametanguia mbele ya haki wanaacha shida kwa familia..hakutakiwi kuwe na siri baina ya mume na mke. Lady niece
 
Last edited by a moderator:
Soma ujumbe na uufanyie kazi. Wanaume wengi Tu wakifa Mali zinapotea. Unakuta mtu Ana hardware mbagala na mkewe wala nduguze hawajui!
Wewe ni mwanaume au kunamahali umekopi na kuja kupesti hapa bila ku edit?
 
Soma ujumbe na uufanyie kazi. Wanaume wengi Tu wakifa Mali zinapotea. Unakuta mtu Ana hardware mbagala na mkewe wala nduguze hawajui!

Kwani nimesema sijasoma?

Lakini pia aliyosema nayajua ndio maana sijaona haja ya kuzungumza kuyahusu ndio maana nikauliza pale paliponitatiza!
 
Back
Top Bottom