Hivi we GuDumee utaacha lini tabia ya kumfungulia nyuzi humu kila mwanamke aliyekuchuna?

Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
322
1,000
Mkuu, yaani umejiunga leo na kuanza na GuDume? Si utumie ID yako ya zamani tu? Lakini, nanyi wanawake mbadilike. Si vyema kuala vya watu halafu mnazungua. Pesa inatafutwa kwa jasho, si jambo la kutapeli kirahisi kama mnavyofanya. Mjirekebishe ili msisemane.
Inahusuuu
 
Kitumburee

Senior Member
Jan 31, 2012
121
225
Loooh

Mwanaume ana Gubu huyuu sijapata kuona yani. Hata ule miatano yake ni lazima aje kukufungulia nyuzi hapa ya kulia lia. Mwanamke anahitaji matunzo babuu, sio ukihonga unamtangaza mtu hebu badilika we mwanaume

Chefuuuu.....
Punguza hasira mama, amekugegeda bila malipo au tuambie tukusaidie? hadi umemfungulia acc feki kumpa vidonge sio mchezo
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,435
2,000
Loooh

Mwanaume ana Gubu huyuu sijapata kuona yani. Hata ule miatano yake ni lazima aje kukufungulia nyuzi hapa ya kulia lia. Mwanamke anahitaji matunzo babuu, sio ukihonga unamtangaza mtu hebu badilika we mwanaume

Chefuuuu.....
utakuwa wa facebook wewe
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom