Nahisi kama mke wangu anachepuka nifanyeje?

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Habari
Kuna rafiki yangu amenifuata kunitaka ushauri juuu ya mke wake.

Anasema hivi "Nimegundua mke wangu ana namba mbili anawasiliana nazo mara nyingi sana kuliko hata za wazazi wake namba hizo hazija saviwa katika simu (Hazina majina) na kila akiwasiliana nazo basi hujaribu kufuta ushahidi ila hua zinampigia na kuchart nazo kwa whatsapp kila siku na pia huwa wanarushiana picha mara nyingi sana huwa wanauliza kama mume yupo ama hayupo kabla ya mawasiliano mara sms alizoziona mwanaume ni kua zinaonesha kua kuna kitu nyuma ya pazia sms moja ilikua hivi:- "Vipi mume wako hayupo natamani nisikie sauti yako"
Mwengine aliombwa zawadi na huyo mwanamke kwa hio dume likajibu sms hiii:- zawadi ninayo ila nikikupa sizani kama utaikubali" bint akajibu "mmmh kwa hio siitaki"

Kwa mnasaba wa hivyo anaona kua mke wake ananyemendewa ama anaibiwa anahitaji mawazo.

Afanye nini? Jeee mawazo yake ya kuibiwa ni sahihi?
 
kwa kifupi anachepuka amuonye tu coz hana physical evidence kama anataka mahusiano yao ya ndoa yaendelee
 
Inawezekana anaibiwa au ndio yupo mbioni kuibiwa

Achukue hatua kabla hajachelewa
Anasema kua mara nyingi humuasa mke wake kua mbali na vijana kwani wanaweza kuhatarisha ndoa yao na humuambia atumie vizuri simu yake ila kwa kweli kila kukicha anaona habadiliki mawasiliano ya namba hizo huendelea.
 
Mkuu chukua ile number mpigie jamaa ,au dadasi nini anafanya mjini and panga kuonana naye kwa namna isiyo kuwa na shari au kwa namna hatoofia usalama wake ...then kutana nae onge nae ,muweke wazi muonye ,ili ukija mfanyia mbaya ajue afu ... ukija ata amishia nyeti zake usoni hasitoe lawama
 
Chapa makosi hawa viumbe bila bakora hawaelewi..
 
Anasema kua mara nyingi humuasa mke wake kua mbali na vijana kwani wanaweza kuhatarisha ndoa yao na humuambia atumie vizuri simu yake ila kwa kweli kila kukicha anaona habadiliki mawasiliano ya namba hizo huendelea.
Achukue namba za hao watu
 
Mke wa mtu anapendeza hana stress ya chakula, nguo wala kodi ya nyumba. Mume wake vyote snatimiza, mwili atapewa mzigo kwa voucher ya 10,000.
 
Back
Top Bottom