Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,027
- 33,003
Aristotle Moja Kati Wana philosophy Bora waliowahi kuwepo Duniani nikifuatia Mimi hapa Labani og, Aristotle aliwahi kusema
"Kama wanawake wasingekuwepo Duniani basi pesa zote zisingekuwa na maana"
Hii Ina maanisha Kwamba hata mudi, bakhresa wasingekuwa na nguvu ya kutafuta pesa
Maoni yangu
Ndiyo nakubaliana naye coz bebez ndiyo wanani motivate kutafuta pesa that's y enzi zile nacheza mpira ....nikisikia Ile sauti ya Joanah akisema " msiniumizie laban wangu. Ghafla Ronaldinho anajivaa mwilini takuwa na maskills hatari sana ambapo sikabiki Hadi naenda kufunga [emoji23][emoji23]
Je unakubaliana au unapingana na Aristotle????.....TOA sababu