Natafuta rafiki mme aumke wa kuchat nae mdawowote.kuchangia mawazo,kujadiri mada mbalimbali zihusuzo maisha. karibuni sana marafiki zangu. ukalimu kwetu ni asiri yetu. idumu africa idumu tanzania...
Kazi imekuwa ya kuchosha nahitaji kupumzisha akili so natumaini ladies tu ndo watacoment, na kama kweli upo serious ncheki tumeet twendzetu, mimi young tu 26 miaka tall white and smart hivi, yeah...
Utafiti umebaini kuwa wakristo tunahiari kusafiri na SIMU kuliko BIBLIA!!, Tunaona bora kusoma SMS kuliko neno la MUNGU,...inakuwaje ununue SIMU ya elfu 50 ushindwe kununua BIBLIA ya elfu 10...
Kuna muda huwa nakaa nakufikiria kama kila mtu angekua mimi ingekuaje?
1. Nimejijengea heshima mtaa ninao kaa kwa kutokua na historia chafu ya kutokua na uhusiano na mabinti wa watu.
2...
Kuna tatizo nimeukwaa naombeni ushauri wenu kwani niko njia panda nilijiunga chuo mwezi januaru lknh huko nilikutana na binti mmoja mrembo sana tulibadilishana nae mawazo na namba za simu kila...
Wanawake wa siku hizi ni
1.wabishi
2.Malaya
3.wajuaji
4.wana wivu
5.hawajui mapenzi
6.wanapenda vya gharama
7.wavivu
8.wakorofi
Kwa kweli nikimuona mtu anaoa namuonea huruma sana Wanawake...
Hili swali nimemuuliza mama mmoja Uswahilini kwetu, kanijibu mwanawe wa kike yuko darasa la sita lakini kwa mbinu zake za kisichana kaweza kumnunulia mama yake simu ya Blackberry.
Wakati ana mtoto...
Ndugu wana jf naomba msaada jinsi ya kujizuia kupizi mapema. kiukwel sijawahi piga punyoto toka mwaka jana 2013 january nifanye mapenzi had mwez huu nilipofanya mapenzi na mchumba angu hii wiki ya...
Swali kwa Wanawake tu.
Je Mwanaume yupi mwenye mapenzi ya dhati kati ya Hawa wa 2.
Mwanaume ambaye yupo tayari kukuhonga kila kitu alichokuwa nacho na yeye kubaki fukara kabisa huku...
habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa.
nina...
habari, mm nimeanza kufanya mapenzi, nikiwa na miaka takribani 23. kila mwnamke niliyewahi kumpitia amekuwa akiniganda na kupenda kuendelea kufanya mapenzi na mm hata baada ya kolewa.
nina...
Hili ni jina la filamu ya kihindi iliyotoka miaka ya mwanzoni ya 1980 ikimhusisha mtaalamu Amitha Bachan.Kwenye filamu hii Amitha anahukumiwa kwa kosa la mauaji..kiukweli hakufanya kosa hilo ila...
Haloo wa JF,
Nina rafiki yangu ana gf wake, huyu mdada mie nashindwa kumwelewa kabisa.
kipindi wanaanzana mimi nlichangia kwa kiasi kikubwa kufanikisha zoezi zima la kuwaunganisha na baada ya...
Je wewe ni binti/kijana/mjane/mgane na unahitaji mwenza wa maisha? Wasiliana nasi kupitia 0688647484 tuakuunganisha na mtu mwenye sifa unaohitaji. Tuma SMS ukieleza UMRI, UNAPOISHI & DINI kwenda...
Nawasihi madada kuacha tabia ya kuchuna wanaume kwani maisha yamekuwa magumu watu wote ktk jamii wanapaswa kuzalisha pasipo kujali jinsia ugoli kipa ulikuwa zamani
Habari zenu wana Jf.
Leo nimeona ni share na nyie mambo mabaya yaliyonitokea maishani mwangu.
Miaka mitatu iliyopita niligraduate elimu yangu ya chuo na baada ya kukaa miez kadhaa nyumbani...
WADADA TUSAHAU KUHUSU HUYU KAKA WA KWETU PAZURI, KATANGAZA MCHUMBA TAYARI
Kwa wale wadada Tuliokuwa tukisugua magoti kwa Mungu kupata kibali cha kuolewa na mwanakaka nyota wa kwaya ya...