Team michepuko inawahusu

Team michepuko inawahusu

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,269
Reaction score
1,269
Hivi wewe baba au mama uliye kwenye ndoa na bado unaendekeza michepuko huwa unajisikiaje ukisikia au kuliona lile tangazo la PSI?

Kama nafsi yako inakusuta basi chukua hatua ila Kama huskii chochote aisee wewe basi tena.

Jamani acheni michepuko bakini njia kuu. Hii ikuendee wewe/ nyie wanafunzi Wa MFI na wababa Wa TOB na NGEBU n.k. na wazee Wa michepuko wote humu JF.

Mlale unono ila kumbukeni michepuko sio dili
 
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu za msingi nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa
 
Mie nina mfano mzur,best angu anachepuka knoma noma yani akisikia lile tangazo anacheka balaaa afu anaona maigizo vile.. Si unajua tena tabia ni ngoz huwez kuibandua?
 
Hivi wewe baba au mama uliye kwenye ndoa na bado unaendekeza michepuko huwa unajisikiaje ukisikia au kuliona lile tangazo la PSI?

Kama nafsi yako inakusuta basi chukua hatua ila Kama huskii chochote aisee wewe basi tena.

Jamani acheni michepuko bakini njia kuu. Hii ikuendee wewe/ nyie wanafunzi Wa MFI na wababa Wa TOB na NGEBU n.k. na wazee Wa michepuko wote humu JF.

Mlale unono ila kumbukeni michepuko sio dili

sikiliza kijana, usiponde tatizo kama hujui roots za tatizo zilipo! mimi si kwamba nakupinga oh sijui tuchepuke, no!

jambo la msingi hapa, define michepuko, elezea origin ya michepuko, elaborate reasons for michepuko, then sema michepuko iachwe vipi!

come back and answer the questions!
Zinduna! ahsante kwa kuniamsha na kibaridi hiki! lolz! one day tutambeleana kulaleki!
 
Last edited by a moderator:
Michepuko dill yani niache kuchuliwa kuogeshwa kwa maji yenye viungo??kisa tangazo! Na rudi home nakuta umevimba kama umetiwa ndimu...kisa? Mwambie wa kwako aache michepuko siyo wawengine.
 
Lile tangazo ni zuri ila lugha iliyotumika siyo sawa tunazidi kukididimiza kiswahili bila sababu za msingi nilugha za kifacebook lugha za vijana ambao wengi hawapo kwenye ndoa

Cha muhimu UJUMBE UFIKE!
 
Michepuko dill yani niache kuchuliwa kuogeshwa kwa maji yenye viungo??kisa tangazo! Na rudi home nakuta umevimba kama umetiwa ndimu...kisa? Mwambie wa kwako aache michepuko siyo wawengine.

Mkeo hawezi kuvimba bila sababu!! Na kuchepuka usidhani kuwa ndiyo suluhisho la matatizo yako ya ndoa! Kwanza wooooote wanaoendekeza michepuko kama wanaume nawaita ni DHAIFU KAMA NANIHII! MKeo hawezi kukuvimbia na kukununia halafu na wewe upo tu unamuangalia. WEWE KAKAKIIZA ni DHAIFU!!!!!
 
sikiliza kijana, usiponde tatizo kama hujui roots za tatizo zilipo! mimi si kwamba nakupinga oh sijui tuchepuke, no!

jambo la msingi hapa, define michepuko, elezea origin ya michepuko, elaborate reasons for michepuko, then sema michepuko iachwe vipi!

come back and answer the questions!
Zinduna! ahsante kwa kuniamsha na kibaridi hiki! lolz! one day tutambeleana kulaleki!

Kweli kabisa you can ask such a question??? Huelewi maana ya michepuko??? Eti nikuelezee reasons for michepuko!! Ebu tuachage utoto usiokuwa na maana jamani!!
 
Mkeo hawezi kuvimba bila sababu!! Na kuchepuka usidhani kuwa ndiyo suluhisho la matatizo yako ya ndoa! Kwanza wooooote wanaoendekeza michepuko kama wanaume nawaita ni DHAIFU KAMA NANIHII! MKeo hawezi kukuvimbia na kukununia halafu na wewe upo tu unamuangalia. WEWE KAKAKIIZA ni DHAIFU!!!!!
Mimi mchepuko unanishawishi! Mchepuko dili maana wanavimba coz wanauhakika na ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom