Punguzeni chipsi Kuleni sembe

Punguzeni chipsi Kuleni sembe

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
(sharing is always beautiful)
nimemnukuu mhudumu wa gesti moja Dodoma (gazeti la mwananchi).
"Short time inalipa kwa sababu haichukui hata dakika kumi wanatoka".

Nimewaza sana kuhusu ufanisi wetu kama wanaume KATIKA tendo. nikapiga hesabu, dakika 2 za kutoa hela na kuvua nguo, dakika 2 za kurudishiwa chenji na kuvaa, ongeza dakika za 2 za kutoka nje Jumla dakika 6, Ina maana jamaa katumia dakika 4 tu kwa tendo lenyewe! Umekuwa KUKU?? Ndo mana wanatudharau HAWA KINA

NB:Kipanya Masoud huyo sio mimi!!!!!!!!
 
Hahahahaaaaaa short time kweli zinalipa hakuna mapenzi hapo ni kuparamiana na kubakana tu..!!
mapenzi hasa yanahitaji nafasi na muda wa kutosha hasa
 
Kukariri sio ishu, alokuambia dakika 4 haziridhishi nani?
 
na wengi huko dodoma ni wabunge. hupiga fasta dk 4 ili wapate muda zaidi wa kusoma rasimu ya katiba
 
sembe yenye makapi ikoje wadau??

mi najua dona ndo mpango mzima....
 
sembe yenye makapi ikoje wadau??

mi najua dona ndo mpango mzima....

huenda anamaanisha bangi mkuu, coz hata mimi sijamuelewa maudhui yake. Itakuwa ndo wale wanaoamini kunywa konyagi kabla ya tendo kunaongeza ufanisi kisha wanaishia kulala tu
 
Kukariri sio ishu, alokuambia dakika 4 haziridhishi nani?
kwamwanaume anapotoa mbegu ndo karidhika.

Ila inavyodhania kwa mwanamke eti mpaka usugue sana,hata nusu saa,kweli ama ni löngolongo?
 
kwamwanaume anapotoa mbegu ndo karidhika.

Ila inavyodhania kwa mwanamke eti mpaka usugue sana,hata nusu saa,kweli ama ni löngolongo?
Inategemea kuna muda dakika 2 ndo zenyewe kuna muda masaa 2 ndo yenyewe
no kukariri....
 
Inategemea kuna muda dakika 2 ndo zenyewe kuna muda masaa 2 ndo yenyewe
no kukariri....

umeongea point sana kumbe ww unaweza kumfanya mwanaume aonekane mjuzi kumbe ni ushiriki wako......... Mtu anakariri na kujisifia kuwa nmemgonga dem bao nane na kila bao nmetumia dakika40, pasipo kujiuluza je mwenzang ameridhika?!
 
mi najua dona ndo mpango mzima....

1450923_467969836646669_1253098523_n.jpg
 

dah! Kuna siku nilliuona uzi flani ulikuwa unakusifia kwa kipaji cha picha ukweli sikuwa napitia sana picha zako lakin sasa nmeshajua ww jamaa upo juu. Unazitoa wapi hizo mkuu?
 
kwani wazungu wanakula ugali nao!!???
waafrika tuna mentality mbaya kwamba ikila kitu kigumu ndio unakuwa na nguvu.
 
ha ha ha ha...
Tyta, big up sana...
huwa nacheka sana, unajua kuunganisha mada, lol..
 
Last edited by a moderator:
excel swaiba wa mie upo??mc u! Aya niwekee vdeo mie ya nguna lisilokobolewa. Tyta keshatupia mipicha

Aisee nimekumiss sana charty!! halafu hako ka avatar kako bana! dah..!.. utam unakuja, utam unakata!! lolz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom