Ukitaka mahusiano yako na wanaokuzunguka yawe mazuri Usiwakwaze watu.
Jiepushe nao kabisa
Jitahidi wiki hii usigombane wala kuwakera wala kuwafanyia utani wafuatao.
Shabiki wa Manchester...
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya...
Uzuri ni hitaji muhimu mno la binadamu hakuna asiyependa uzuri
Watu tunashindana kuwatafuta wenzi bomba ili tusifiwe
Hii imepelekea watu kuutafuta uzuri kwa gharama kubwa kwa kutumia lotion...
If you didn't read Unexpected Journey I, click here below:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/596001-unexpected-journey-1-a.html
Its something Ive always said Ill learn but...
Miongoni mwa mambo yanayotuletea msongo wa mawazo ni kutindikiwa na mlundikano wa majukumu yanayotakiwa yakamilike ndani ya wiki moja. Kuna wakati unaweza kujikuta ukiwa umebanwa na majukumu ya...
Picha hii haihusiani na habari yangu
Kuna jambo moja huwa halisemwi sana kwa sababu linawahusu zaidi wanandoa, lakini huwa linasababisha ugomvi, masimango na wakati mwingine kutengana kwa...
Habari wana jukwaa!!
Kuna swali huwa linanitatiza mara nyingi sasa sijui kama nipo jukwaa sahihi kUuliza....
Zamani kidogo kulikua na mila au tuseme desturi kwamba unapoenda kununua chumvi...
Without you, I'm as lonely as an abandoned dog on the side of a highway. I have gift anxiety, even
through I don't know when your birthday is. We can
spend perfect days shopping and cooking...
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwambie sababu na...
Wanawake wanaochelewa kuzaa wanakabiliwa na tisho la kupata matatizo ya afya ya uzazi. Huu sio utafititi tu balo maoni ya daktari mmoja mkuu mjini Nairobi Kenya.
Athari za kuchelewa huko ni...
Wakati mwingine kuna matukio ambayo naamini huwa ni nadra kutokea.
Sikia hii: Siku moja nilisafiri kutoka Dar kwenda Mza kwa basi. Katika kiti cha mbele yangu alikaa dada mmoja mrembo, baada ya...
Jamani naomba nisaidieni maana bado nampenda x wangu na hali inavyoonesha kama amesha move on, moyo wangu unakataa kumove on kila nikijaribu kumsahau nashindwa.
Siku hizi kumekuwa na ubaguzi wa kimo/height cha mtu yale ya rangi na dini yanapungua.
Wanaume kwa wanawake katika nyanja nyingi,Kazi,mapenzi,siasa,Urafiki,sanaa na michezo wamekuwa wakibagua na...
Samahani sana wana MMU labda ninalotaka kuongelea ni nje ya jukwaa.
Mimi ninataka kujua mtu akiwa na uhusiano wa kimapenzi na mlemavu wa ngozi (albino) kuna matatizo gani ambayo yanaweza yakatokea...
Tumekuwa atuongi kwa sababu tumesikia maneno mengi kutoka kwa wasichana/wanawake wanatucheka sisi na kutuita majina mbali mbali ambayo siyo ya kushukuru sababu rahisi tu, tunawajali na kuwafikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.