Mchepuko wa hatari

Mchepuko wa hatari

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
True story: kuna mshkaji Mmalaysia alimuaga mkewe anaenda China. Mkewe akamsindikiza hadi airport, kumbe jamaa kaingia na kutoka kisha akazama kwa mchepuko. Sasa jamaa amenasa kwenye apartment ya mchepuko hawezi kutoka maana ndege aliyoaga anasafiri nayo ndiyo hiyo ambayo imepotea hadi hivi sasa.
Tatizo jamaa aturudije nyumbani?
 
Hii story sasa imekuwa kama wimbo wa taifa.
 
534647_297838210326500_129021962_n.jpg
 
Back
Top Bottom