Mangrove sp
New Member
- Mar 27, 2014
- 1
- 0
Hodi humu ndani wanajamvi natumai mko poa!
Ebwana kuna binti niko nae kwenye mahusiano ni mwaka na miezi miwili hivi mpaka sasa.
Katika ndani ya huu muda nimeachana nae kama mara 8 hivi na kurudiana(nikimuacha ananirudisha,akiniacha namrudisha) na nimewahi kusex nae mara1 tu japo nilitumia energy nyingi sana na hata siku-enjoy na hi ilikua kabla ya hata ya first broke up.
Ni kwamba last broke up niliifanya mimi baada yakuona huyu binti 1day atakuja ani-kill but aliomba msamaha kwa mbinu zote nakukiri makosa pamoja na ku-promise kutorudia makosa then nilimsamehe.
Sasa changamoto kubwa ni kwamba analeta sababu nyingi pindi ninapomuomba kutoka nae out,in short hataki out na harudii tena makosa mengne(kama alivyoni-promise).
Sasa huyu binti kutakua na mshikaji mwingine ambaye huwa anatoka nae hivyo nimpotezee au niishi nae vipi jamani?
Nitashukuru kwa ushauri wako!