philosophy
Senior Member
- Nov 11, 2012
- 104
- 42
Watu wengi husema kuwa mapenzi ni hisia. Sikatai wa sikubaliani na mawazo haya. La hasha, sijafanyia utafiti wa kutosha juu ya hili! Ila katika uchunguzi niliofanya kuhusu mahusiano ya mapenzi, nimebaini mambo yafuatayo.
1. Mapenzi yenye kutawaliwa na hisia, mara nyingi mmojawapo kama sio wahusika wote huishia katika maumizvu, hata kama mapenzi hayo yamedumu kwa muda mrefu.
2. Mapenzi yenye kuhusisha au kutawaliwa na akili(kufikiri), mara nyingi wahusika wake huwa na furaha au mmoja wapo kati ya hao mwenye kutumia akili huishia katika furaha na mwenye kuwa huru muda waote; hata kama mapenzi hayo hayadumu kwa muda mrefu.