Maumivu ya mapenzi!

Maumivu ya mapenzi!

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Habari ya mchana wana JF,

Hivi ni nani huumia zaidi kati ya mtu mume na mtu Mke Mara mahusiano yao ya kimapenzi yanapovunjika?
 
Mambo hayo
 

Attachments

  • 1395825094497.jpg
    1395825094497.jpg
    29.9 KB · Views: 491
wote depend na kila mtu alivyourank huo upendo wa mwenzie
 
Maumivu kwa me ni makali sana ila yanalapse just in a short time. Ila kwa ke it takes so long to heal na always ke huwa stranded the only option is whoever comes will b accepted just to easy the pains she going thru!
 
Hivi maumivu ya mapenzi ndo yakoje? Yapo kama migraine headaches?

Na unaweza tu ukameza ibuprofen yakatulia?
 
Yeyote yule anaweza umia inategemea alimpenda vipi mwenzie,mwenye upendo mwingi ndo huwa na maumivu makal.
 
​wote wanaumia

Hapana, anayevunja mahusiano huwa haumii ila upande wa pili wa anayevunjiwa mahusiano ndiye anaumia. Kwa kawaida anayevunja mahusiano anakuwa amejiandaa kwamba labda ameona weakness zako so si lolote tena kwake au ana mbadala tayari so wewe ni nothing.

Mfano, upo kwenye relation na mtu then ikatokea ukachepuka na ulikochepukia ukaona ni bora na kuzuri kuliko kwa yule uliyenaye!! Utaumia vipi kuvunja uhusiano hapo??
 
Hivi maumivu ya mapenzi ndo yakoje? Yapo kama migraine headaches?

Na unaweza tu ukameza ibuprofen yakatulia?
Mungu asikujaalie lakini yanauma hayaelezeki unaweza lia bila kupigwa na machozi yatakutoka hata mbele za watu,inauma na hata kuelezea inaumaje hakuna atakae kufahamu ila alie pitia.....
 
Ila Mbona wanaume ndo wanakufa zaidi ya wanawake coz of mapenzi.
 
Inategemea nani alitaka kumuacha mwenzake hapo intensity ya maumivu inapungua sana
 
Back
Top Bottom