Babu amtia mimba mjukuu wake na kumuachisha shule

SNGAS

Member
Joined
Feb 17, 2014
Posts
30
Reaction score
6
Habari zenu wana JF wote;

Hivi karibuni nilikwenda Ku-spend likizo mkoani kwetu,nikiwa huko nilishangaa kumwona mtoto wa dada yangu kwa mama mdogo akiwa na kichanga anakinyonyesha kwa kweli nilikatisha ghafla mazungumzo na kuulizia kulikoni maana ninavyofahamu yule binti alitakiwa awe form two mwaka huu.

Sikutegemea jibu nililopata la kwamba yule mtoto ni wa mume wa mama mdogo mwingine aishiye Iringa ambaye kimsingi mume wa mama yetu mdogo ni babu kwa huyo mtoto, ilibidi niulize ni hatua zilizochukuliwa dhidi ya unyama huu, nikajibiwa wamemwachia Mungu na kwamba yule babu alienda shuleni kutoa taarifa ya kwamba yule binti ni mgonjwa na anapelekwa Mbeya mjini kwa matibabu zaidi katika hospital ya rufaa, alipokelewa rufaa na vyeti vya ugonjwa kufojiwa na kurudishwa shuleni kama ushahidi na hivyo kufunika uovu huu.

Je wana JF mnanishauri vipi kuhusu hili jambo? Au nilisongeshe kwenye vyombo vya sheria au tumbane huyu babu amlee yule binti na mtoto wake kitu ambacho hadi ajakifanya maana hatoi matumizi wala kujulia hali.

Ushauri please tena uwe wa kujenga ni sio utani maana hii issue ni serious.
 
Poleni ila wote huenda wana makosa fanya uchunguzi huwezi kujua labda binti ndiye aliyemchezea babu mpaka babu uzalendo ukamshinda akamgegeda na yakatokea hayo. Mabinti nao siku hizi wanamakubwa ukiwaona vitu wanavyovaa huku mtaani na mashuleni walimu nao wanakazi ya ziada. Binti kama ana miaka 18 kafanya kwa mapenzi yake. Ila kumlea mtoto pamoja na yote ni lazima kwa wazazi waliomzaa mtoto na sio mtu mwingine.
 
Habari zenu wana JF wote;

Hivi karibuni nilikwenda Ku-spend likizo mkoani kwetu,nikiwa huko nilishangaa kumwona mtoto wa dada yangu kwa mama mdogo akiwa na kichanga anakinyonyesha kwa kweli nilikatisha ghafla mazungumzo na kuulizia kulikoni maana ninavyofahamu yule binti alitakiwa awe form two mwaka huu.

Sikutegemea jibu nililopata la kwamba yule mtoto ni wa mume wa mama mdogo mwingine aishiye Iringa ambaye kimsingi mume wa mama yetu mdogo ni babu kwa huyo mtoto, ilibidi niulize ni hatua zilizochukuliwa dhidi ya unyama huu, nikajibiwa wamemwachia Mungu na kwamba yule babu alienda shuleni kutoa taarifa ya kwamba yule binti ni mgonjwa na anapelekwa Mbeya mjini kwa matibabu zaidi katika hospital ya rufaa, alipokelewa rufaa na vyeti vya ugonjwa kufojiwa na kurudishwa shuleni kama ushahidi na hivyo kufunika uovu huu.

Je wana JF mnanishauri vipi kuhusu hili jambo? Au nilisongeshe kwenye vyombo vya sheria au tumbane huyu babu amlee yule binti na mtoto wake kitu ambacho hadi ajakifanya maana hatoi matumizi wala kujulia hali.

Ushauri please tena uwe wa kujenga ni sio utani maana hii issue ni serious.

Kama unategemea huyo babu amlee huyo binti basi ujuwe ukimpeleka kwenye sheria hilo hutafanikiwa, kwani atakuwa Jela anakula miaka isiyopunguwa 30, kama itathibitika kweli ni yeye mwenye huyo mtoto (DNA).

Unachotakiwa ni kumtisha tu kuwa achaguwe moja, ama kulea mtoto na mamake ama kwenda jela. Hapo ndipo utapopata matumizi ya huyo mtoto na mamake.

Ukiamua kwenda polisi na hatua za kisheria kuchukuliwa ukubali kuwa anakwenda jela na matumizi itakuwa ni gharama yako na ukoo wako. Ukipenda usipende.

Kumbuka pia, ikiwa mtamuwachia hivi hivi hatoishia hapo, ataendeleza tu kuharibu watoto. Fikiri, ikiwa hata wa nyumbani hakujali ina maana ana uzoefu na hako kamchezo kakuharibu watoto.
 
Back
Top Bottom