Inaposhindikana , tuachane kwa amani, it real pays

Inaposhindikana , tuachane kwa amani, it real pays

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Habari wana jamii, #
Naomba niwaelezee ya ukweli yaliyonitokea sku c nyingi kwa my ex.

Nakumbuka nlimpenda sana ila naweza sema alikua chanzo cha kuvunja mahusiano yetu ingawa hadi leo anajitetea sio kosa lake.Ilikua ngumu kuachana lsiku za mwanzoni lakini kadri mda ulivyozidi kwenda dalili za kupotezeana mda na kuwekeza kwenye hamna nikaamua kuvunja rasmi 2009.

Baada ya hapo nikapanda mbegu ya chuki dhidi yake na wanaume kwa ujumla ndugu zangu xcluded, alijtahid kunitafuta si kwa lengo la kurudiana bali kuondoa hali ya chuki tuliyokua tumeifika, mtoto wa kike nilikataa na kufuta kila kitu kichwani mwangu kuhusu yeye. Hakuchoka kiukweli aliendeea kuomba msamaha tuwe na kuachana pasipo uadui huku nikiendela kumtusi kumkejeli na kila aina ya dharau itokay kwa ke kwenda kwa me.

Lakini ilimpedeza Mungu miaka mitatu baadae nilipokea simu yake usiku akaniambia mamaake amezidiwa sana amelazwa kiukweli nilimkatia simu.Lakini huruma ya kibinadam ilinijia kesho nikaenda hospital kumuona mama. Sasa shida ikawa naenda napiga stori na mgonjwa ye simsalimii, akawa ananiongelesha huku akishukuru for atlist nimemthamini mama yake. afta 3 days nikajikuta nimemsamehe lakini nikakata mawasiiano

Tuje kweye kiichonipelekea kuandika hii thread. Ni kua juzi kati nilipata shida Fulani lakini kwa bahati zuri nikagundua huyu EX anaweza kua wa msaada kiukweli alifanya over expectation nikahudumiwa na kumaliza shda zangu.Yani sikuamini nikikumbuka yale matusi asingekua na busara naye akaacha tuachane kwa ugomvi nani angeniokoa leo.

Tujitahidi kumaintain mahusiano yetu inaposhndikana tuachane kwa amani hata kesho tuweze kuish kama binadam wababa mmoja.
 
Hakuna busara kama kuachana bila chuki ila tatizo ni nn kinafanya muachane,inakua rahisi kwa wale ambao uhusiano wao unakufa taratibu simply kila mmoja anajiandaa ivo inakua rahisi breaking up for good ila ni ngumu kwa sharp cut breakup mfn umemfumania au kafanya jambo lolote baya lazima chuki itawale ila ni bora baada ya muda mkasamehana kama marafiki ila hongereni km mmefikia kusamehana tatizo litakuja wenza wenu wa sasa kukubali hilo maana inakera hawa ex bf/gf wakiwa na mawasiliano na mpenzi wako wanapenda sana sifa mpk kero.
 
kwa maelezo yako mbona kama bado yeye ana mapenzi na wewe? manake wanaume niwajuavyo mimi mmh kuhangaika hivyo na wewe bila kuwa na hisia na juu yako si rahisi. Ila hata hivyo ktk mahusiano kuna yale yanayovunjika lakini uhusiano wa kirafiki unaweza kuendelea kuwepo na kuna yale ambayo kwa kweli haiwezekani itategemea na situation hapo
 
hahahaahaaaa umeona eeeeh, mi huwa najitahidi kabisa kabisa kupunguza au kuondoa kabisa idadi maadaui. Kwanini uishi kwa shida? Nakukumbuka sana nanihiii wangu, naamini umenisamehe japo hutaki mawasiliano tena na mimi lakini najua haikua kosa langu. Huyu Mdada nampenda hadi kesho and she knows it very well lakini ilibidi tuachane, M my dear kama uko humu na unaona ninachokiandika nisamehe sana sana.
 
kwa maelezo yako mbona kama bado yeye ana mapenzi na wewe? manake wanaume niwajuavyo mimi mmh kuhangaika hivyo na wewe bila kuwa na hisia na juu yako si rahisi. Ila hata hivyo ktk mahusiano kuna yale yanayovunjika lakini uhusiano wa kirafiki unaweza kuendelea kuwepo na kuna yale ambayo kwa kweli haiwezekani itategemea na situation hapo

Mimi ex zangu wote tumeachana kwa amani tu na tunapiga stori hadi leo,,sijawachukia hata kidogo japokuwa wengi niliwahudumia sana mpka wakati mwingine nikifikiria nasikia kuumwa
 
Wanaume siku zote tu-wakarimu sana kwa ex wetu,mimi sioni sababu ya kukata mawasiliano kabisa na mtu ulieachana nae mana hujui huko mbeleni itakueje.

Mshukuru sana huyo x wako mana kama angekuwa ana kisirani nawe hata huo msaada usingeupata.
 
tatizo mnapenda kweli..

siku mkiachwa, mnalia!

kwani mkeo huyo hadi umlilie? ulipanga kumuoa?

akikuuliza ndoa unapiga chenga, akikuacha unalia!
 
too much is harmful jmn nataka kuacha mtu as soon as pocbo maana ananikondesha na kuniumiza kichwa mtoto wa watu sina amani na mahusiano niliyonayo kabisa kisa ex wake!! wameachana bt ex g wake mpaka leo anaenda geto kwake mara kwa mara tena wkend!! MAMBO GANI HAYO KWAKWELI MI HAPANA! wew na ex wako go to hell!!
 
Hongera sana kwa busara zako. Ni sawa na kuwekeza yaani kudumisha undugu na mtu mliyeachana naye. Huwezi jua ya kesho.
 
Hakuna kitu kizur kama kuachana kwa aman...... Kuna siku nilibanwa na homa nilikosa msaada kabisa kwa7bu nilikuwa natapika sana. Nikamtext ex wangu wa kitambo hicho akaja kuniuguza japo tuliachana kwa tofaut za wazaz.... Mpaka leo hii tunaishi kama ndugu tunashare shda na matatzo mbali mbali
 
Nikweli lakini kuna wanawake hili hawalijui na mimi huwa naona ni wapuuzi wa maisha mahusiano yakikataa achana nayo uhusiano uendelee!!eti mtu mapenzi yanashindikana na yeye uhusiano unakufa!!
 
Tatizo kwa ma-EX wa kiume usipowakazia watapasha kiporo kila siku. Bora kuwaavoid.
 
ubarikiwe... vijana tunapenda penda bila focus... ile ''will you marry me'' tumewaachia wazungu!

sisi tumebakia tu na '' when will i gegeda you''? lolz!

aminaaaaaaa! tena siku nikikuonesha kipoch tu cna jpya tenaaa!!
 
Aisee nataka kuacha mtu as soon as pocbo maana ananikondesha na kuniumiza kichwa mtoto wa watu sina amani na mahusiano niliyonayo kabisa kisa ex wake!! wameachana bt ex g wake mpaka leo anaenda geto kwake mara kwa mara tena wkend!! MAMBO GANI HAYO KWAKWELI MI HAPANA!!

Hawajaachana hao
 
ubarikiwe... vijana tunapenda penda bila focus... ile ''will you marry me'' tumewaachia wazungu!

sisi tumebakia tu na '' when will i gegeda you''? lolz!

Hahaaaaaaaa

Ndo maana wamekupa uenyekiti wa team naniliu

Ila maneno yako yana ukweli aisee
 
too much is harmful jmn nataka kuacha mtu as soon as pocbo maana ananikondesha na kuniumiza kichwa mtoto wa watu sina amani na mahusiano niliyonayo kabisa kisa ex wake!! wameachana bt ex g wake mpaka leo anaenda geto kwake mara kwa mara tena wkend!! MAMBO GANI HAYO KWAKWELI MI HAPANA! wew na ex wako go to hell!!

mmh shost hapo kimbia tena haraka loh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom