haya si mapenzi jamani

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
habari zenu wapendwa wote.lengo kubwa leo nahitaji msaada wa kimawazo mimi mwenyewe nashindwa.nimefanikiwa kuwa kwenye mahusiano miaka miwili sasa,na nina mtoto mmoja na huyohuyo muhusika.katika muda huo mwanzo maisha yalikuwa ya amani sana mpk mtoto alivyopatikana,baada ya miezi sita kupita ugomvi kila siku,mnasuluhisha leo keshokutwa tena,nimevumilia sasa nahisi kushindwa mwenzangu hana lugha nzuri ya mawasiliano,mapenzi ni kitu cha ajabu sana kila mtu anapenda kujaliwa.mimi imefikia mahali mpaka nawaza kuanzisha mahusiano mapya....namwelewesha my mzazi mwenza hakuna kitu.nilifikiri atakuwa na mwingine nikafanya research hana mtu.tatizo ni nini,hebu nisaidieni jamani,
 
Angalia hasa ugomvi unatokana na ni mara nyingi,pia acha kumwangalia mwenzako tu,hebu jikague na wewe nini kimebadilika?Utapata jibu!
 
Ni kawaida ndani ya mda wa miaka5 ya mwanzo hayo mambo kutokea kwa maana ujana unakuwa bado haujawaisha,hapa suluhisho si kukimbia,tulia,vumilia na majaribu huwa yapo ili kupima uvumilivu hvyo piga moyo konde ipo siku mtakuwa tena sawa,jiadhari usitumie nguvu kubwa kubadilisha hali vinginevyo utajikuta unaumia kila wakati,kuwa mpole,kuwa sahihi katika kutimiza wajibu wako na endelea kumpenda mmeo/mkeo
 
kuwa mvumilivu ndugu Yang mambo kama hayo hayana budi kutokea ktk mahusiano,muhimu ni kujifunza kutokana na hizo changamoto.
 
If this isn't love
Tell me what it is, cause i can be be dreaming
and just plain crazy
If this isn't love
Tell me what it is, cause I never felt like this baby
If this isn't love
L-o-v-e what is it to me?
L-o-v-e Oh...
If this isn't love [x2]
[Verse 2:]
I'm selfish cause I don't wanna share
Her, with nobody not even those
People that came before me
But see I never believe.
God sent me an angel up from above
That's gonna love me for life
Might as well be perfect
Only because it's the only way
I can describe, so
 
Back
Top Bottom