Anaye kupenda awe kijana wa kiume ama kijana wa kike,mbaba au mmama ni lazima ajali mambo haya matatu yaani:-
Saikolojia ya mwenza wake (means the way his/her mind works and influence behaviour),
Uchumi wa mwenza wako (the way to save the money,time and energ to influence dvt),
Utamaduni (the way of real life i.e customs and beliefs to influence respect).
Ukijali mambo hayo mahusiano yenu yatadumu sana na hakutakuwa na migongano isiyo ya lazima.